Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 1,396 Reaction score 2,704 Feb 27, 2024 #21 ila yote kwa yote mchizi wangu remix ilikuwa bonge la ngoma
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 2,737 Reaction score 5,464 Feb 27, 2024 #22 K11 said: Ila Chid aliua kwenye mchizi wangu Click to expand... Chidi hakuuwa kwenye mchizi wangu sababu ananza na mistari ya kujisifu kwanza na sio kumuongela mchizi wake. Mskilize mule Fid Q FA J moo Lordeyez
K11 said: Ila Chid aliua kwenye mchizi wangu Click to expand... Chidi hakuuwa kwenye mchizi wangu sababu ananza na mistari ya kujisifu kwanza na sio kumuongela mchizi wake. Mskilize mule Fid Q FA J moo Lordeyez
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Feb 27, 2024 #23 We ndio mchizi wangu remix hatari hii
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 1,396 Reaction score 2,704 Feb 27, 2024 #24 Saad30 said: Chidi hakuuwa kwenye mchizi wangu sababu ananza na mistari ya kujisifu kwanza na sio kumuongela mchizi wake. Mskilize mule Fid Q FA J moo Lordeyez Click to expand... hata Adam Mchomvu aliendana na maana ya ngoma
Saad30 said: Chidi hakuuwa kwenye mchizi wangu sababu ananza na mistari ya kujisifu kwanza na sio kumuongela mchizi wake. Mskilize mule Fid Q FA J moo Lordeyez Click to expand... hata Adam Mchomvu aliendana na maana ya ngoma
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 2,737 Reaction score 5,464 Feb 27, 2024 #25 Adam huwezi kumuweka katika hiyo cycle mkuu. Yule alikuwa kwajili ya kujifurahisha.
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Feb 29, 2024 #26 Mchuzi wangu iko poa zaidi.