Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 211
- 339
Kakojoe ulaleKatika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza mamlaka iliyo madarakani kwa sasa. Wanaita hiyo "operesheni ya mfululizo wa alama."
Kinachoonekana kuwa ni kundi dogo lenye mshikamano na mpango wa kitaalamu, kumbe kina majeraha ya ndani. Ndani yao, baadhi wameanza kusogea karibu na mfumo wakitoa ishara za kuomba rehema, wengine wakisubiri tu mkate ugawanywe, lakini si kwa ajili ya pamoja. Hawa wamevaa ngozi ya kondoo, lakini macho yao huangaza zaidi ya kawaida.
Majina ya wale wanaoongoza meza hiyo yanatamkwa kwa sauti ya chini: Sloslow, Ujima, Mbunge wa Taifa, Kiluvu, Papaa Modemba Iyee, na yule mwenye kofia aliyetabiri ushindi wa chama cha baiskeli kwa zaidi yq asilimia 75+. Kila mmoja ana nafasi yake, kila mmoja ana anwani ya siri.
Lakini cha kuchekesha kinachoonekana kwao kama mafanikio ya kisiri tayari kimewekwa mezani na wenzenu tayari wameshawatangulia hatua kumi mbele zaidi. Kila hoja yenu imeandikwa kabla haijazungumzwa.
Kwa hiyo ndugu zanguni mkitazama nyuma mtaona kivuli chenu kikicheka.😃😰
Acheni mchezo wa kujaribu kufunga mlango ambao tayari umetazamwa kwa kamera nyingi.
Mimi sio mwandishi mzuuri saana wa kupangilia maneno kama inavyopaswa, kikubwa ujumbe ufike.
Mkuu wewe sijakutaja na siwezi kufanya hivyo😀Kakojoe ulale
Balaa lote hili kiini chake ni Msoga kwa kutotaka kwake kustaafu.Hakuna hata siri, kila kitu kiko wazi, nyumba imeshabomoka, wanafamilia wakiume wako busy kugawana fito, na fito zenyewe zio za kwenda kujenga bali kutandikana barabara, na kumrejesha mwali kule kwao alipotokea. Muda ni mchache mnoo hayo kutokea.
Huyo Mzee ni adui namba mosi wa taifa hili.Balaa lote hili kiini chake ni Msoga kwa kutotaka kwake kustaafu.
Ila kama wafu wameamua kuzikana, itapunguza kazi kwa wachimba kaburi.
Kumechangamka km polisi haitazuia na kuzuia taharukiLeo gwajiboy anaongea na vyombo vya habari, kesho polepole nadhani wiki inayofuata atakuwa Mpina... ngoja tuone
Eti jmn🤣🤣🤣Na wewe mwenyewe unajiona Mzee wa code?
Hakuna siri na haikutakiwa iwe siri. Utawala umefitinika mmeiharibu Tanzania kiasi ukipata ajali au msiba ukiwa ni mboga mboga tunafurahia.
Pasuaneni tena haraka
Mbona visukari vingi mkuu?Na wewe mwenyewe unajiona Mzee wa code?
Hakuna siri na haikutakiwa iwe siri. Utawala umefitinika mmeiharibu Tanzania kiasi ukipata ajali au msiba ukiwa ni mboga mboga tunafurahia.
Pasuaneni tena haraka
🤣🤣🤣🤣 Bila shaka atakuwa ModembaModemba ndiye nani?
Acha tujipe muda picha ndo kwanza limeanza bado kuna wengine hawajatoka kuongea hapoKatika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza mamlaka iliyo madarakani kwa sasa. Wanaita hiyo "operesheni ya mfululizo wa alama."
Kinachoonekana kuwa ni kundi dogo lenye mshikamano na mpango wa kitaalamu, kumbe kina majeraha ya ndani. Ndani yao, baadhi wameanza kusogea karibu na mfumo wakitoa ishara za kuomba rehema, wengine wakisubiri tu mkate ugawanywe, lakini si kwa ajili ya pamoja. Hawa wamevaa ngozi ya kondoo, lakini macho yao huangaza zaidi ya kawaida.
Majina ya wale wanaoongoza meza hiyo yanatamkwa kwa sauti ya chini: Sloslow, Ujima, Mbunge wa Taifa, Kiluvu, Papaa Modemba Iyee, na yule mwenye kofia aliyetabiri ushindi wa chama cha baiskeli kwa zaidi ya asilimia 75+. Kila mmoja ana nafasi yake, kila mmoja ana anwani ya siri.
Lakini cha kuchekesha kinachoonekana kwao kama mafanikio ya kisiri tayari kimewekwa mezani na wenzao tayari wameshawatangulia hatua kumi mbele zaidi. Kila hoja yao imeandikwa na kujadiliwa kabla haijazungumzwa.