Ukisikia urithi ndio huu; Mwananchi Kosovo ampa kura Hayati Magufuli badala ya wagombea waliokusudiwa

Ukisikia urithi ndio huu; Mwananchi Kosovo ampa kura Hayati Magufuli badala ya wagombea waliokusudiwa

... huyo ka-download hiyo karatasi ya kura ya huko Kosovo, ka-print, kajaza ujinga aliotaka, then ka-scan na kui-post humu! Mataga at work!
Usitishike hata SHETANI n maarufu nahuandikwa pia na wafuasi wake
 
UKISIKIA URITHI NDO HUU
Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili walioongoza kwenye matokeo ya mzunguko wa kwanza uliofanyika Oktoba 2021 walichuana ili kupata mshindi...
Mwacheni mzee wa watu RIP. Hizi topic hazina kitu cha maana!
 
Ndio yeye mwenyewe huyo anajitekenya na kucheka , mwenyewe, hakuna Mkosovo hapo ni TAGA hilo, makaratasi ya kura Ulaya huwa yanagaiwa na vyama kwenye kampeni mengi mengi tu , kwenye adress yako kila Chama kitakutumia hizo karatasi. Ila ukifika kwa wasimamizi siku yakupiga kura , pale utaingiza moja tu.
kwa hili TAGA linataka kutuona hatujaishi ulaya na hatujuhi kitu.
Niimemuuliza naona hajajibu, nilitaka nishangae ni Nani anayeweza kufanya ujinga huo uko Ulaya
 
... huyo ka-download hiyo karatasi ya kura ya huko Kosovo, ka-print, kajaza ujinga aliotaka, then ka-scan na kui-post humu! Mataga at work!
Afanye yote hayo kwa gharama za nani!?? angekuwepo magufuli tungesema anamlipa buku saba.sasa hayupo nani anayegharamia process yote hiyo kwa faida ya nani.
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
Tunachojua na kukifurahia ni kuwa dhalim mwendazake anateketea motoni hivi sasa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom