Ukisikia urithi ndio huu; Mwananchi Kosovo ampa kura Hayati Magufuli badala ya wagombea waliokusudiwa

... huyo ka-download hiyo karatasi ya kura ya huko Kosovo, ka-print, kajaza ujinga aliotaka, then ka-scan na kui-post humu! Mataga at work!
We mbulula kweli... yaani nikafoji karatasi ya Kosovo tena uchaguzi usio na umaarufu wowote wa kameya tu ka mji ambao wala sio mji mkuu katika nchi ambayo haina uzito wowote duniani? Tena kauchaguzi kenyewe ni ka marudio ... hebu kuwa serious bwana. Magufuli mchukie lakini haki yake mpe. Mie mwenyewe nimefulia sana na kuishi kama shetani katika utawala wa Magufuli, lakini kazi yake nimeikubali sana. Ni bahati kwamba tulipata kiongozi wa aina yake.

Halafu hiyo karatasi inapatikana wapi mtandaoni pa kuipakua?

Jifunze kutathmini picha za mtandaoni kwa muktadha mpaka ili kujua feki na og.
 
Jibu acha kukoroma, taja rais wawili tu Africa walioenziwa.
Waliofariki wakiwa ofisini ni magufuli tuu kwa miaka ya hivi karibuni hao akina na gadafi wako waliuwawa katika migogoro ya kisiasa nchini mwao. So ni utaratibu wa UN kumuenzi mshirika wake.

Usikakamae kijana elewa hivyo.
 
Nkurunzinza vipi? Maana alikufa akiwa rais,alienziwa?au naye kulikuwa na mgogoro😂😂😂
 
UKISIKIA URITHI NDO HUU

Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili walioongoza kwenye matokeo ya mzunguko wa kwanza uliofanyika Oktoba 2021 walichuana ili kupata mshindi.

Shakir Totaj wa chama cha PDK aliibuka mshindi kwa 51.01% ya kura, akimbwaga mpinzani wake (ambaye ndo alikuwa Meya anayetetea kiti) bwana Mytaher Haskuka wa chama cha LVV, ambaye aliambulia 48.99% ya kura.

Ila aliyetia fora kwa sisi waTanzania ni mpiga kura aliyepiga kura hii:

View attachment 2012845

Hayati Dr. John Pombe Magufuli amepata umaarufu mkubwa duniani kutokana na sera yake ya kushughulikia tatizo la UVIKO. Sera ambayo imeonesha matokeo chanya kwa nchi ya Tanzania kuwa ni nchi pekee duniani ambako 99.99% ya raia walikuwa wanaishi kwa uhuru bila wasiwasi wowote kuhusu UVIKO na wanaendelea kufanya hivyo hata sasa.

Kwenye nchi za Ulaya (ambapo Kosovo ni mojawapo) suala la UVIKO limeambatana na ukosefu wa uhuru kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kutokana na jinsi serikali za bara hilo zilivyoamua kulishughulikia tatizo hilo.
Ahahahaha nimesoma juu ya karatasi ya kura nilipoona lugha iliyopo ni ki Serb, halafu muandiko wwa karamu ni wa Kingereza,ikabidi nijisemee muyoni 'HUYU NI MLA MAVI?'
 
UKISIKIA URITHI NDO HUU

Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili walioongoza kwenye matokeo ya mzunguko wa kwanza uliofanyika Oktoba 2021 walichuana ili kupata mshindi.

Shakir Totaj wa chama cha PDK aliibuka mshindi kwa 51.01% ya kura, akimbwaga mpinzani wake (ambaye ndo alikuwa Meya anayetetea kiti) bwana Mytaher Haskuka wa chama cha LVV, ambaye aliambulia 48.99% ya kura.

Ila aliyetia fora kwa sisi waTanzania ni mpiga kura aliyepiga kura hii:

View attachment 2012845

Hayati Dr. John Pombe Magufuli amepata umaarufu mkubwa duniani kutokana na sera yake ya kushughulikia tatizo la UVIKO. Sera ambayo imeonesha matokeo chanya kwa nchi ya Tanzania kuwa ni nchi pekee duniani ambako 99.99% ya raia walikuwa wanaishi kwa uhuru bila wasiwasi wowote kuhusu UVIKO na wanaendelea kufanya hivyo hata sasa.

Kwenye nchi za Ulaya (ambapo Kosovo ni mojawapo) suala la UVIKO limeambatana na ukosefu wa uhuru kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kutokana na jinsi serikali za bara hilo zilivyoamua kulishughulikia tatizo hilo.
Huo uhuru wa kutovaa barakoa kipindi kile cha mapema mwanzoni mwa mwaka jana uliua maelfu kwa maelfu ya watanzania kwa maambukizi ya covid19. Kirusi kilizunguka sana kwenye majiji makubwa na kikaua wazee wengi wenye umri wa wazazi wetu.
 
Hivi nyie mnajua watu wangapi wanamshuhudia Hittler kila mwaka?

Kuweni na akili. Dunia imejaa wapumbavu kibao wanaoamini hata ujinga.
 
UKISIKIA URITHI NDO HUU

Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili walioongoza kwenye matokeo ya mzunguko wa kwanza uliofanyika Oktoba 2021 walichuana ili kupata mshindi.

Shakir Totaj wa chama cha PDK aliibuka mshindi kwa 51.01% ya kura, akimbwaga mpinzani wake (ambaye ndo alikuwa Meya anayetetea kiti) bwana Mytaher Haskuka wa chama cha LVV, ambaye aliambulia 48.99% ya kura.

Ila aliyetia fora kwa sisi waTanzania ni mpiga kura aliyepiga kura hii:

View attachment 2012845

Hayati Dr. John Pombe Magufuli amepata umaarufu mkubwa duniani kutokana na sera yake ya kushughulikia tatizo la UVIKO. Sera ambayo imeonesha matokeo chanya kwa nchi ya Tanzania kuwa ni nchi pekee duniani ambako 99.99% ya raia walikuwa wanaishi kwa uhuru bila wasiwasi wowote kuhusu UVIKO na wanaendelea kufanya hivyo hata sasa.

Kwenye nchi za Ulaya (ambapo Kosovo ni mojawapo) suala la UVIKO limeambatana na ukosefu wa uhuru kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kutokana na jinsi serikali za bara hilo zilivyoamua kulishughulikia tatizo hilo.
Tushukuru Corona jamaa angetumaliza
 
Mungu hampeleki mtu motoni kwa kusikiliza majungu na chuki za wauza unga, vyeti feki, mafisadi, timu gaidi, wala rushwa, wapiga madili, wavivu, wezi
 
UKISIKIA URITHI NDO HUU

Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili walioongoza kwenye matokeo ya mzunguko wa kwanza uliofanyika Oktoba 2021 walichuana ili kupata mshindi.

Shakir Totaj wa chama cha PDK aliibuka mshindi kwa 51.01% ya kura, akimbwaga mpinzani wake (ambaye ndo alikuwa Meya anayetetea kiti) bwana Mytaher Haskuka wa chama cha LVV, ambaye aliambulia 48.99% ya kura.

Ila aliyetia fora kwa sisi waTanzania ni mpiga kura aliyepiga kura hii:

View attachment 2012845

Hayati Dr. John Pombe Magufuli amepata umaarufu mkubwa duniani kutokana na sera yake ya kushughulikia tatizo la UVIKO. Sera ambayo imeonesha matokeo chanya kwa nchi ya Tanzania kuwa ni nchi pekee duniani ambako 99.99% ya raia walikuwa wanaishi kwa uhuru bila wasiwasi wowote kuhusu UVIKO na wanaendelea kufanya hivyo hata sasa.

Kwenye nchi za Ulaya (ambapo Kosovo ni mojawapo) suala la UVIKO limeambatana na ukosefu wa uhuru kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kutokana na jinsi serikali za bara hilo zilivyoamua kulishughulikia tatizo hilo.
he is dead....i repeat, that monster is dead and long gone. my his soul continues to rot in hell fire.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom