Ukisikia urithi ndio huu; Mwananchi Kosovo ampa kura Hayati Magufuli badala ya wagombea waliokusudiwa

... huyo ka-download hiyo karatasi ya kura ya huko Kosovo, ka-print, kajaza ujinga aliotaka, then ka-scan na kui-post humu! Mataga at work!
Usitishike hata SHETANI n maarufu nahuandikwa pia na wafuasi wake
 
Tulia wewe. Ni utaratibu wa UN acha kukomaza shingo.
Magufuli sema alichafuliwa na wapinzani tuu lakini alikuwa poa kinyamwezi yaani
Jibu acha kukoroma, taja rais wawili tu Africa walioenziwa.
 
Mwacheni mzee wa watu RIP. Hizi topic hazina kitu cha maana!
 
Niimemuuliza naona hajajibu, nilitaka nishangae ni Nani anayeweza kufanya ujinga huo uko Ulaya
 
... huyo ka-download hiyo karatasi ya kura ya huko Kosovo, ka-print, kajaza ujinga aliotaka, then ka-scan na kui-post humu! Mataga at work!
Afanye yote hayo kwa gharama za nani!?? angekuwepo magufuli tungesema anamlipa buku saba.sasa hayupo nani anayegharamia process yote hiyo kwa faida ya nani.
 
Tunachojua na kukifurahia ni kuwa dhalim mwendazake anateketea motoni hivi sasa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…