Ukisikia urithi ndio huu; Mwananchi Kosovo ampa kura Hayati Magufuli badala ya wagombea waliokusudiwa

Hii mada ndio kulinda regase? Uharo mtupu huu.
 
ni rais pekee aliyeitendea haki tz,baada ya mwal.nyerere.
 
Kwanini Nkurunzinza na Gadafi hawakuenziwa? Hoja yetu siyo wote ila ni baadhi.
Kama ni wote jibu swali la hapo juu.
Gadaffi na Nkuruzinza walikua na crisis za genocide na western world so technically US wange veto hizo resolution za kuwaenzi and whatsoever.

Sasa JPM alikua na crisis gani ya level zao? But kukumbukwa ni karibu kila Rais anakua mourned so ain't a big deal.

Funny enough akipewa endorsement na mabeberu mnaona ni big deal ila wakimkosoa enzi zake mnasema ni mabeberu wana wivu?? Sasa which is which?
 
Kwa hiyo atafufuka kesho?
 
Unasifia upumbavu wa kitanzania kukosa maji Ni sehemu ya upumbavu mkubwa na uwezo mdogo wa viongozi wa kitanzania wanaotumia ardhi kuwa Ni sehemu ya kuhifadhia mavi wanayokunya tu. Unakosaje maji na mito imejaa nchi nzima?.
 

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
 
Si walimwita ni dikiteta,kumbe kwenye mioyo yao walijua ukweli kuwa ni jabali la kazi?
Vipi Lissu The Hague walimpuuza au? Vipi alivyozunguka Ulaya na Marekani walimpuuza kwani?
 
Si walimwita ni dikiteta,kumbe kwenye mioyo yao walijua ukweli kuwa ni jabali la kazi?
Vipi Lissu The Hague walimpuuza au? Vipi alivyozunguka Ulaya na Marekani walimpuuza kwani?
Hao walikua wana kesi za War crimes!! Hata Deby Itno alikua dikteta ila amefanyiwa commemoration coz at least licha ya udikteta hakufika level za war crimes kama hao wawili.

Anyway bottom line ni kwamba mabeberu walipokua wanamkosoa sera zake mlidai wanamuonea wivu ila wanapotoa obituary wanageuka MAJEMBE?? Huu unafiki wa CCM ni kwa faida ya nani?
 
Walikataa Sera zake! data zikawaumbua...maana number doesn't lies.wao wenyewe wakatuambia tumeingia uchumi wa Kati miaka 5 kabla.
RIP Jabali la Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…