hahahaaaa...!!umeona eeh!? Mkuu umeua. anakuambia "fanya haraka haraka nataka nikaongee na ratifa". Ukimsema kidog tu atanuna hapo!. Mia
mbulaaaa
Ukiona hivo ujue mzazi kakumind, akifafanua zaidi unachukua kiulaiiini. Mia
mmmmmhhhhh!!!!!
hahahahaha mia leo umekua elfu
karibu mkuu. ulipotelea wapi? mmu tulikumiss. mia
Its written on the wind, its everywhere I go. Miamkuu, mbona kama umenukuu kifungu cha sheria? umejuaje? mia
Ndio siku nyingine ukome kukurupuka na viPM ukajua umepata kumbe umepatikana......Narudia tena kuja pembezoni hapa nikuonyeshe alaaa!
Asante mzee wa mia......mbona mie kila siku nipo, labda tunapishana tu. Halafu nawe mkuu bana, ndo ulikuwa unamuamrisha mwenzio 'kata kiuno' heheh kama mpo kwenye kwata jamani!!
Usiogopeee
Asante mzee wa mia......mbona mie kila siku nipo, labda tunapishana tu. Halafu nawe mkuu bana, ndo ulikuwa unamuamrisha mwenzio 'kata kiuno' heheh kama mpo kwenye kwata jamani!!
Uhuru usio wa kifkra, na bado tunasonga.
Its written on the wind, its everywhere I go. Mia
Tatizo alikua hajui kama ulishaacha chibuku,sasa yeye anaenda kukutafuta kwenye vilabu vya chibuku wakati umeshaokoka na umeshampokea Yuda Iskariote!!
hii ngumu kumetha...
hahahahaaa...!! Eiyer inaonekana wewe ni mtabili. umejuaje? lakini kweli kuna watu fulani fulani jf nisipo waona siku haijaisha. huwa nauchuna tu. siwapm wala kukomment sredi zao lakini moyoni mwangu wamo sana tu na wananipeleka mbio. Mia
mie ndo maana sipati tabu ukisikiliza mpira katikati ya shughulie mie nachukua kitabu cha shigongo naanza kukisoma.