ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe...

ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe...

H ha ha ha ha ha
umenichekesha usingizini

alisinzia??????!!!!
Basi jua una kituthpick

18 huwezi fika coz baadhi yenu mnakatisha tamaa. mapenzi hayana usharomalo. amsha hisia za mwenzako. sasa mwingine hata kile kilio cha mahaba hadi afundishwe. Mtu anakaa kimya hadi unamuuliza vipi umesinzia? hahaaaa...!!. Mia
 
H ha ha ha ha ha
umenichekesha usingizini

alisinzia??????!!!!
Basi jua una kituthpick

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kongosho vibaya namna hiyo mtake radhi mwenzio. Hata Ambwene wangu nilipojifunga hakuwa na kituthpick!alikua na kibamia lol
 
Ofcoz nilikuwa nakaubize kidogo lakini nilikuwa siachi kutupia walau comments mbili tatu hivi, yawezekana tulikuwa tunapishana muda!! Halafu mkuu.......heheh huko kunitrace, au ndo unaniandalia namie bomu?? Lol

hapana mkuu. wewe haumo. project ishaisha. labda kwenye project nyingine ijayo. Ntakufikilia. Mia
 
Heheee!
Hii thread imenichekesha kweli, ama kweli wanaume wengine kazi kweli, huyo alikuwa anakupima akakukuta zoba na ulivyo mjinga ukaja kuanika hapa jf tena subiri vilivyo vyako atakuwa anakuandalia
 
sijui umenena ukweli mkuu ,naona wamekimbia wengi kwny hii sred.....watakuwa wamejifunza kidogo.
Ila pia na sisi wanaume tunapasa kufanya zaidi kuamshaa hisia zao eboooooo!
 
hypocrits, living a plastic life ndio vimejaa humu mia.
basi wenyewe wamenuna...umeongea ukweli mkuu. samahani Dada zangu, mala mia mnichukie kwa kuwaambia ukweli kuliko kunipenda kwa kuwambia uongo. Mia
 
Heheee!
Hii thread imenichekesha kweli, ama kweli wanaume wengine kazi kweli, huyo alikuwa anakupima akakukuta zoba na ulivyo mjinga ukaja kuanika hapa jf tena subiri vilivyo vyako atakuwa anakuandalia

alisha andaa tayari. mia
 
Back
Top Bottom