ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe...

Figga nakupa credit kwa kuliona hili nje ya pitchbox ukiwa bado umekaa kwenye bench la wachezaji wa akiba hata kocha hajakwambia pasha jaramba ukawa usha'recognise udhaifu wa timu yako "Jf sports club" uko wapi.
So far ile unaingia unapewa pande chenga mbili bao! Unacheka na nyaya.
Unajua kivipi nakupa shavu lote hili ? Sababu umenigusa kunako!.
Mimi mususu wangu wa hapa Jf majuzi tu aliniacha katika mshangao wakati cha mbegu niko above namsukuma finyango mwenzangu kavuta shanuo chini ya mto kaanza kufumua nywele! Na kama vile haitoshi wakati namjadili kichwani cha kumwambia ananiambia namnukuu " kitupe basi unajua muda wa La- revancha bado kama dkk mbili" huku kaikodolea mimacho saa ya ukutani.
Hapohapo mie Mtarimbo dooro! Hebu angalia mrusho bin pasua kichwa! Umewagusa has'ssaa.
 
Haya bana.....,ila kale ka ugonjwa kako ka kula chabo punguza au ikiwezekana acha,yule mdada wa chumba cha jirani yako mliepanga hapo kwenye hiyo nyumba ameshtukia lile tundu ulilotoboa kule bafuni!JITI!

hahahaaaa...!!..haya bana. halafu Eiyer una kesi na mimi. ntakupm. Inaonekana uekuwa busy hadi umesahau. mia
 
Unajua kivipi nakupa shavu lote hili ? Sababu umenigusa kunako!.
Mimi mususu wangu wa hapa Jf majuzi tu aliniacha katika mshangao
kuna mshikaji wangu ana kimwana, namanisha shemeji yangu humu humu lakini hata yeye ana lalamika. sasa ule ujanja wa akina AD,DA,L,R,M,N,H,XG,A,KP,SL,FL,KONGO,RR nk wameutoa wapi na wanautumia wapi? Mia
 
Heheh.....ishukuriwe serikali ya invisible kwa kutufanya tuwe masikini wa fikra na matajiri wa imagination!!!

Heheeh, usinichekeshe tena kakondooo.Hali yangu hainiruhusu kucheka.

Yeahhh ishukuriwe kwa kukutufanya tuthubutu na tuweze kuwa na imagination fupi kama kamba za viatu.
 
Figga nakupa credit kwa kuliona hili nje ya pitchbox ukiwa bado umekaa kwenye bench la wachezaji wa akiba hata kocha hajakwambia pasha jaramba ukawa usha'recognise udhaifu wa timu yako "Jf sports club" uko wapi.
So far ile unaingia unapewa pande chenga mbili bao! Unacheka na nyaya.
Unajua kivipi nakupa shavu lote hili ? Sababu umenigusa kunako!.
Mimi mususu wangu wa hapa Jf majuzi tu aliniacha katika mshangao wakati cha mbegu niko above namsukuma finyango mwenzangu kavuta shanuo chini ya mto kaanza kufumua nywele! Na kama vile haitoshi wakati namjadili kichwani cha kumwambia ananiambia namnukuu " kitupe basi unajua muda wa La- revancha bado kama dkk mbili" huku kaikodolea mimacho saa ya ukutani.
Hapohapo mie Mtarimbo dooro! Hebu angalia mrusho bin pasua kichwa! Umewagusa has'ssaa.
hahahahahahahahahaha hii kali!
 
Heheeh, usinichekeshe tena kakondooo.Hali yangu hainiruhusu kucheka.

Yeahhh ishukuriwe kwa kukutufanya tuthubutu na tuweze kuwa na imagination fupi kama kamba za viatu.

Vipi tena mwayego, inakuwaje hali yako isikuruhusu kucheka....unakaribia kujifungua??? ......lolzz!!! Alafu innovator alisema atagawa suspender kwa wote watakaoongeza speed ya kupost......heheh yawezekana zikatusaidia kuhold hata hizi fikra zetu za 'ashkirimu'!!!
 
Tatizo alikua hajui kama ulishaacha chibuku,sasa yeye anaenda kukutafuta kwenye vilabu vya chibuku wakati umeshaokoka na umeshampokea Yuda Iskariote!!

Money money money!!! Hahaha we unadhani kwanini Tf na Husn wameanzisha kanisa??
 
Vipi tena mwayego, inakuwaje hali yako isikuruhusu kucheka....unakaribia kujifungua??? ......lolzz!!! Alafu innovator alisema atagawa suspender kwa wote watakaoongeza speed ya kupost......heheh yawezekana zikatusaidia kuhold hata hizi fikra zetu za 'ashkirimu'!!!
I wish, nitafute nikipona nikupe habari kamili.

Alafu hao nao wazushi tu, nashangaa mimi nna rep. 3000.Kwa vigezo walivyosema wanatumia namba zangu ni usanii mtupu.
 
hahahaaa...!!hapana mkuu, mtu mzima anaona haulizi. lakini mambo yanapozidi inabidi kuuliza. Ulipotea kama wiki fulani hivi coz kila siku nakutresi. Mia

Ofcoz nilikuwa nakaubize kidogo lakini nilikuwa siachi kutupia walau comments mbili tatu hivi, yawezekana tulikuwa tunapishana muda!! Halafu mkuu.......heheh huko kunitrace, au ndo unaniandalia namie bomu?? Lol
 
Figga nakupa credit kwa kuliona hili nje ya pitchbox ukiwa bado umekaa kwenye bench la wachezaji wa akiba hata kocha hajakwambia pasha jaramba ukawa usha'recognise udhaifu wa timu yako "Jf sports club" uko wapi.
So far ile unaingia unapewa pande chenga mbili bao! Unacheka na nyaya.
Unajua kivipi nakupa shavu lote hili ? Sababu umenigusa kunako!.
Mimi mususu wangu wa hapa Jf majuzi tu aliniacha katika mshangao wakati cha mbegu niko above namsukuma finyango mwenzangu kavuta shanuo chini ya mto kaanza kufumua nywele! Na kama vile haitoshi wakati namjadili kichwani cha kumwambia ananiambia namnukuu " kitupe basi unajua muda wa La- revancha bado kama dkk mbili" huku kaikodolea mimacho saa ya ukutani.
Hapohapo mie Mtarimbo dooro! Hebu angalia mrusho bin pasua kichwa! Umewagusa has'ssaa.

oooh....mama(kwa melodsound ya kisharobaro)....SOURCE: Judgement
 
kuna mshikaji wangu ana kimwana, namanisha shemeji yangu humu humu lakini hata yeye ana lalamika. sasa ule ujanja wa akina AD,DA,L,R,M,N,H,XG,A,KP,SL,FL,KONGO,RR nk wameutoa wapi na wanautumia wapi? Mia

Si ni kuigiza tu! Usanii now days hata kwenye technohamer unapatikana!
 
I wish, nitafute nikipona nikupe habari kamili.

Alafu hao nao wazushi tu, nashangaa mimi nna rep. 3000.Kwa vigezo walivyosema wanatumia namba zangu ni usanii mtupu.

ooops! Hivi kumbe unaumwa? Pole mwayego, nitakuja kukukorogea uji, unipe na hiyo full newz!! Heheh bila usanii Alikiba asingeimba na R-kelly, invisible anataka rushwa.....nitamtuma Roulette ampelekee njugu za kuchemsha!!!
 
Kiperemende! ntake razi ! wanichapa kwa fimbo nilioichuma mwenyewe? we mbona mtundu! na hasa ikifika mida hii ! Hulali !

Sie kwetu mafuruku kulala usiku, think mr judge think!!! Ngoja nimalize kuripea ungo wangu alafu nione ka nitaweza kukutaka radhi!!!
 
ooops! Hivi kumbe unaumwa? Pole mwayego, nitakuja kukukorogea uji, unipe na hiyo full newz!! Heheh bila usanii Alikiba asingeimba na R-kelly, invisible anataka rushwa.....nitamtuma Roulette ampelekee njugu za kuchemsha!!!
Asante kakondooo.

Yani sijamaind kabisa uto tusystem twao twa kizushi.Natamani wanirudishie zangu kama zilivyokua mwanzo badala ya kuchakachua kizushi.
 
wanafanya amendment ya katiba, nadhani kikao kijacho suala lako watalizungumzia!! Heheh naskia P.a.w alitangaza kupitia CNN kuwa atawapiga ban waondoke kazini, ndo maana wanafanya kazi kwa pressure!!
 
Hahahaha, wazushi tu.
Na ntawaPM wanirudishie zangu kama zilivyokua.Sitaki kushiriki ufisadi usilipa mie.Lolz
 
Back
Top Bottom