We endelea tu kuwachana, heheh kufikia kesho status yako itakuwa ni 'Junior member'....!!!
18 huwezi fika coz baadhi yenu mnakatisha tamaa. mapenzi hayana usharomalo. amsha hisia za mwenzako. sasa mwingine hata kile kilio cha mahaba hadi afundishwe. Mtu anakaa kimya hadi unamuuliza vipi umesinzia? hahaaaa...!!. Mia
H ha ha ha ha ha
umenichekesha usingizini
alisinzia??????!!!!
Basi jua una kituthpick
H ha ha ha ha ha
umenichekesha usingizini
alisinzia??????!!!!
Basi jua una kituthpick
Money money money!!! Hahaha we unadhani kwanini Tf na Husn wameanzisha kanisa??
Ofcoz nilikuwa nakaubize kidogo lakini nilikuwa siachi kutupia walau comments mbili tatu hivi, yawezekana tulikuwa tunapishana muda!! Halafu mkuu.......heheh huko kunitrace, au ndo unaniandalia namie bomu?? Lol
Si ni kuigiza tu! Usanii now days hata kwenye technohamer unapatikana!
basi wenyewe wamenuna...umeongea ukweli mkuu. samahani Dada zangu, mala mia mnichukie kwa kuwaambia ukweli kuliko kunipenda kwa kuwambia uongo. Miahypocrits, living a plastic life ndio vimejaa humu mia.
Heheee!
Hii thread imenichekesha kweli, ama kweli wanaume wengine kazi kweli, huyo alikuwa anakupima akakukuta zoba na ulivyo mjinga ukaja kuanika hapa jf tena subiri vilivyo vyako atakuwa anakuandalia