Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg
 
Ukiporwa binti kama huyu huna sababu ya roho kukuuma zaidi ya kushukuru mpwa wangu
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg
Yaani hapoooooooooo..........hakyanani tena UTAUZA nyumba ya ulisi.......duuuuuuuu
 
mmmh wanaume vichomi utawajua tu
lakini ni mrembo halisi wa kibantu
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg

Hata mi nimetamani hii, japo sifanyi kosa nikamweka ndani! Kila mkamilifu atajua unachojivunia.....! Labda umvalishe chupi la chuma, then utembee na ufunguo ili roho ishuke walau kidogo.
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg

pearl sayz:

ah ah ah uncle buji jamani miss u mwaaaaaaaa,yani niko busy nachukua oda ya kuku si unajua watu sikukuu ndo wanajichana?by the way mbn hujasema unataka wangapi?miss u unlce mwaaa
 
Jamani huyu dada ni mzuri au alivyovaa anavutia? maana sijui ni dada gani apige picha ya namna hiyo na aonekane mbaya
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg

Utafikiri haendagi nanihiiii!!
kitu kama ya kuchorwa!!
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg
halafu muoaji anaiacha inathagaa thagaa mitaani kiruuuu?hakyanani watu wanakamua hiyo mpaka thukari iishe atheee mbe!🙄
 
jamani binti alikuwa hapa siku zooote muoaji hakuna, hadi mmenyang'anywa na mrundi ndo mnaanza kumtamani. kumbukeni amri ya tisa, usitamani mke wa mwenzio lol.
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg
Sasa mbona wanaofaidi hapo hawana pesa! na wala hajawahi kuporwa na wenyepesa! unazungumzia Bongo celebrity mkuu! Wapi Mamaa Wema Sepetu, Auntie Ezekiel,....
 
Ukiporwa mke kama huyu hamna jinsi nzuri zaidi ya kushukuru aliyekupora maana atakuwa kakuepusha na mengi
 
Back
Top Bottom