TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
hadharanihadhalani
amebarikiamebaliki
Hao kamati kuu ndio walienda kumtoa Nusrat Hanje ili akaape?Endelea kuota,hao akina Halima wajiunge tu CCM maana CDM ndio kwaheri hivyo!Chadema19 na kamati kuu wanaelewa wanachokifanya, taabu na stress vipo kwa wafuasi
ndiyo matatizo ya conspiracy theories, hawa ndiyo 95% ambao CCM inawategemea; wanyime elimu ili tuwatawaleChadema19 na kamati kuu wanaelewa wanachokifanya, taabu na stress vipo kwa wafuasi
Mwisho wa match tutaelewa mkuu, haina haja kutumia nguvu kubishanaHao kamati kuu ndio walienda kumtoa Nusrat Hanje ili akaape?Endelea kuota,hao akina Halima wajiunge tu CCM maana CDM ndio kwaheri hivyo!
Wewe uko slow slow sana kuelewa the obvious!Mwisho wa match tutaelewa mkuu, haina haja kutumia nguvu kubishana
mapema sana kujua matokeo ya kesi ingawa kuna mwelekeo wa WIN WIN 50/50
Oooh sawaWewe uko slow slow sana kuelewa the obvious!
Ingekuwa nchi zinaheshimu uwajibikaji,mahera na Ndugai walipaswa kujiuzulu kwa kushiriki jinai ya kughushi nyaraka za chama!
Ndiyo Ukweli WenyeweHuwa nasikia watu wanasema NANI SENSI ila sijui maana yake.
Mpaka hapa uzi wake ulitakiwa uwe umefutwa.hadharani
wamebariki
great thinkerWakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.
Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.
Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.
Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.
Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.
Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.