Ukisikiliza press ya Mbowe na ukisikiliza press ya Mdee pana Igizo la Kanumba

Kwa hiyo Mbowe ndio alienda kumtoa Nusrat Hanje gerezani, Nje ya utaratibu Wa makahakama na kwenda kuapa ? Nipe jibu hapa
 
Chadema ni chama cha kilaghai.
Mambo yao yote huwa na ulaghai uliojificha...
 
Mbona chama chenu kimekuwa kampuni ya mtu mmoja,yeye ndiye kila kitu,wengine mmebaki na mkiimba mapambio,ili matumbo yenu yashibe.
 
Ni kweli kabisa,wanafanywa watoto wadogo bila wenyewe kujijua wanaendelea kuvimba vichwa
Nimekumbuka zamani unaenda kwa bibi ukilia na kusema umepigwa au umeonewa na mwenzio, bibi anasema tema mate nimchape. basi unafurahiii unatema mate kwenye mkono wa bibi na kanyamaza, eti kwamba mtu atachapwa......... Na hicho ndicho wanachoambiwa wafuasi wa Chadema sasa
 
.
Si uwaache wenye server walalamike? Au wewe ni mmoja wa wenye server?
20201127_220152.jpg
 
Umeongea na erithrocyte kupata kibal cha kuandika haya
 
Acha kuropoka wewe umeona na kusikia Nini mbowe amesema na Nini halima amesema na kukukongezea umemeikia sipika kasema nini
 
Nilivyofika mahali umeandika unahisi nikaacha kuendelea kusoma, hizo hisia zako pelekea mkeo.
Wote sie huku tusiokuwa kwenye kamati kuu tunahisi tu hivi mara vile,hakuna anaejua kwa hakika suala hili.
 
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.

Tusubirie rufaa kwanza then tuitimishe ni igizo
 
Hizi hisia zako na zile hisia za mapenzi zinatofautiana au ndo yaleyale?
 
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.
WASIPOKUELEWA NITAG PLEASE! Kudos!!!
 
Ukiwasikiliza hawa Wawili utagundua tu kuna ambaye hana Elimu Kubwa lakini ni Mwerevu huku mwingine akiwa ni Msomi lakini ni Mpumbavu.
 
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.
Acha upumbav....hata kama Mbowe alikuwa na List yake...jiulize taratibu zilifuatwa?
kama hazikufuatwa manake Mdee na aliemtuma wamechemka

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
mapema sana kujua matokeo ya kesi ingawa kuna mwelekeo wa WIN WIN 50/50
Ukitaka kujua mwisho wa CHADEMA upo wapi, basi warogwe kuwarudisha hao wasaliti wa chama ndani ya chama kwa sababu yoyote ile.

Na kwa upande wa pili, CHADEMA wanayo nafasi nzuri sana ya kuwajua mamluki wote wa CCM waliomo ndani ya chama, na sakata hili ndilo litakaowatoa mafichoni na kukisafisha chama 'once and for all.'

Halima kurudishwa CHADEMA ni nuksi ya kukimaliza chama hicho.
 
Chadema ni past tense, ni CHADEMA ipi tena unayosema itakuwa na mwisho?
 
Back
Top Bottom