Tetesi: Ukisoma alivyotetea watu Tundu Lissu bila gharama yoyote ukimlinganisha na aliyofanya Magufuli huamini unaposikia habari za uzalendo

Kwanini SGR haijajengwa Dar to Tunduma? Huko ingeleta faida kubwa sana kuliko huko inakopelekwa!!! Kwanini chattle international airport isingekua Dodoma airport?

Kwanini daraja la coco to aghakhan lisingekua daraja la zanzbar to bagamoyo?
Chadomo mkichukua nchi mwaka 5020 then fanyeni hiyo mipango yako
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
JPM anatekeleza majukumu yake na anachokifanya ndicho Rais anapaswa kufanya hivyo sio HISANI kama mnavyomtukuza (najua utaniuliza mbona waliopita hawajafanya hayo). Tundu ni kama raia mwema flani hivi naweza kuwa mie ama wewe pale unapoona mambo hayaendi unajitoa kusaidia wakati mamlaka zinazopaswa kusaidia zinapokuwa mbali na tatizo
 
Njoo nikuajiri... juzi nimepata Kitambulisho Cha Mjasiliamari. Hapa Kazi Tu!
Kumbe ni mmachinga...lazima uwe na akili za kushikiwa mkuu mimi huwezi kuniajiri..huwezi muajiri mwanasheria kwenye umachinga mkuu...
 
Mwanasheria anaajiriwa na mtu yoyote mkuu labda mwanasheria uchwara.
Mkuu huna uwezo wa kuajiri mwanasheria maana kama umepata kitambulisho cha umachinga maana yake huna mtaji unaozidi 4,000,000 sasa una hela gani? Ya kumuajiri mwanasheria kwa kufanyaje? Kugomboa vitu vilivyokamatwa na jiji?
 
Wewe vipi kila siku tuna waajiri kudraft mikataba yetu ya kimachinga. Nimeamini wewe ni mwanasheria uchwara kama retired.
 
Sasa wewe mmachinga ku draftiwa mkataba wapi na wapi wakati wewe unapanga vitu juani..umelia umepata kitambulisho upo hapa unajidai unaweza vunja 200,000 kwa siku wakati unaswampa kuipata kuzungusha faida ya 1000 au 2000
 
Mkuu mimi ni mkulima wa nyanya hapa Tuliani...!!
 
Kwaio upo pale njia panda? Juzi nilisimama hapo na Crown Athlete nyeusi ndo wewe uliekua unalialia blaza blaza nunua kwangu enh
 
UNACHEKESHA WEWE NA NI MENTO FRESH MAY BE
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom