Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nan anapaswa kumshukuru mwezie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viazi vya aina gani?Wote viazi. Akili ndogo. Anyway mume ashukuru pesa na nguvu ipo sio kwa gazeti hilo la mke. Kupigwa matukio kupo njiani
Kwanini
Ahahha 😂 ila wewe ukiniona siku utashangaa utasema hapa sio wewe hayaLast born wetu wa JF mwenye miaka yake 10 mjini kwenye moja na mbili
Kabisa ngoja tuoneWote viazi. Akili ndogo. Anyway mume ashukuru pesa na nguvu ipo sio kwa gazeti hilo la mke. Kupigwa matukio kupo njiani
HapanaWote wako sahihi 😜
Nimejibu swali sahihiKwanini
SawaNimejibu swali sahihi
Wote washukuriane naMungu pia!
Mtasema mke sio sahihiHapana