Ukisoma threads hizi mbili! Utajua maisha yamechange Sana!!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii comment ukisoma ni zaidi ya hatari.

Hizi Fantasy ni balaa.

Hata wanyama hawafanyi hivi.
 
Nyuzi za biashara, hasa uzi wa uza smartphone hapa
Mwaka 2015 simu samsung note3 ilisifiwa sana na kuuzwa laki 7
Ikiwa na ram2 gb16
Huku tecno H6 ikiwa laki 4 gb16 ram2
Camera 1
 
Hii comment ukisoma ni zaidi ya hatari.

Hizi Fantasy ni balaa.

Hata wanyama hawafanyi hivi.
Na kulikuwa na haja gani kwa mleta uzi kuirudia hii. Tatzo la jf baadahi ya wapuuzi hii ni kawaida yao kuamua kuendelea kujisfia kwa upuuzi wake kwa kutumia id nyingne
 
Huo ni upumbavu na ugonjwa wa akili, options zote alizotaja ni za ukichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…