Indo la njaa
Member
- Jul 15, 2013
- 13
- 3
Bila shaka wewe ni first year. Bado unawaza kuajiriwa. Vijana wa tz bwana Yaani aibu tupu
Ni aibu tosha yaani hawafikirii kingine zaidi yakuajiriwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe ni first year. Bado unawaza kuajiriwa. Vijana wa tz bwana Yaani aibu tupu
Wewe Acha kudanganya watu, hivi unawajua walioko usalama wa taifa? Elimu zao unazijua? Kazi zao je? Wewe kaa kimyaKupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Fikra changa...siku hizi fursa/ajira yoyote 85% ni connections, 15% pata-potea.
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
acha kuishi kwa historia wewee..kuna mijinga kama wewe ipo UDISM na haina ajira....
hivi masomo huko chuoni masomo bado hayajaanza maana posti za dizaini hii zimekuwa nyingi.