ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Wewe Acha kudanganya watu, hivi unawajua walioko usalama wa taifa? Elimu zao unazijua? Kazi zao je? Wewe kaa kimya
 
Hivi vyuo vya serikali na vyuo binafsi bila kuweka vile vya seminari vipi viko juu kwa taaluma?,ambavyo unaweza kujua nani anakidhi vigezo vya kitaaluma vya ajira ktk usaili?.Ukijua hilo hautajiingiza tena ktk promotion ya vyuo bila kujijua.
 
Kwanza kijana inatakiwa utambue usalama wa taifa hawaajiri mtu kutoka chuoni. Usipende kuanzisha nyuzi hovyohovyo ongea na watu uvae viatu. Ukiwa jkt vijana wengi wanaochukuliwa Usalama wa taifa ni Form 4 na Form six ni wachache sana. Ukiwa na degree hawakuchukui, utaambulia jwtz na majeshi mengine. Mfumo wa miaka ya nyuma kuwachukua vijana wa Vyuoni siku hzi wameuacha. Usalam awakitaka mtu mwenye Degree wanaenda kwenye Balozi mbalimbali zinazofanya kazi hapa nchini hapo wakikukuta mtanzania unapewa barua na kuambiwa kijana tumekufatilia mda mrefu kuanzia leo usalama tunakuhitaji uje ufanye kazi. Hapa namaana uwe umepita Us embasssy na barozi mbalimbali zilizopo hapa nchini. Kua makini na unayoyaandika, Ukija mtaani utajionea
 
hivi masomo huko chuoni masomo bado hayajaanza maana posti za dizaini hii zimekuwa nyingi.
 
kuna watu wengi waliosoma hivyo vyuo unavyovitaja na wapo huko unaposema hawawezi kwenda, kuna watu wana div 3 wako huko na ni wazuri sana kwenye kazi zao...kwa kifupi uliposoma si kigezo, bali ni kama unaqualities za mtu wanayehitaji kwa muda huo..kama u don't qualify hata kama ulisoma Harvard hutaitwa...
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

Akiri yako ina virusi inaitaji kufrashiwa.Na kama vyuo vya serikali wapo watu kumi wenye akiri kama zako, basi baada ya miaka 3,80%ya watanzania watakuwa ni misukule.:A S-confused1:
 
Mrema ni usalama wa Taifa ni darasa la saba,ila amejiendeleza nasikia ana degree.Kuna kazi nyingi sana za kufanya zaidi ya hiyo uliyoitaja
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

kwa jinsi ulivyo kiraza,unafikiri kufanya kaz usalama wa Taifa ndio dili,ujinga ni mzigo hasa pale unapokua hujui na hujui kama hujui
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

uwezo wa kufikri mfupi ka maisha ya funza mkuu... fursa zote zipo kwa watanzania wote haijarishi umesoma chuo gan! mradi vigezo vyako vinaruhusu kupata kazi.
 
Naona anachoandika ni ujinga mtupu anadhani kusoma UDSM ndo kuwa na akili? Kuna wasichana walikuwa wanasoma Law Mlimani wakaenda taasisi fulani kufanya research wakamkuta mzungu acha wakanyagane katika kujieleza, mzungu akanisukumia mswahili wakasema afadhali maana mhhh kingereza hiki tusingeweza. Basi wakanipa research proposals zao ni ugolo mtupu huwezi kuamini ni mwaka wa tatu LLB UDSM. Kuna vipanga kwa taarifa wako vyuo vaya private. Nadhani ifike maahli kasumbu hiyo ya kutukuza UDSM ife, ni akili za mtu. Ni sawa na kusema wale wanaosoma private secondary siku walikosa sekondari za serikali wakati kila siku tunaona private ndo zinaongoza
acha kuishi kwa historia wewee..kuna mijinga kama wewe ipo UDISM na haina ajira....
 
hivi masomo huko chuoni masomo bado hayajaanza maana posti za dizaini hii zimekuwa nyingi.

Wat0t0 hawa wana0ta nd0t0 mchana wa jua kali! Asiyejua maana haambiwi maana.....
 
Mkuu naona ulikuja kwa lengo la kutaka kujua sema tatizo approach yako haijawa nzuri.ni vyema ungeuliza mojamoja kwa moja tungekuelekeza kuliko kuja kama mjuaji haya ndo madhara yake.
Nasita kukuelekeza kwa jinsi ulivyo attend iyo topic yako ila mwenyekujifunza hakati tamaa andika upya then come back u will learn maana hapa nakuona hakuna unachokijua
 
kweli huu jamaa anaonekana amesoma kipindi cha mulugo ndo mana alimchora messi kwenye paper la necta na ukikua utaacha upuuzi
 
Naona akili yako imefir.wa nakua enslaved, plz free-up your mind mtoto.
 
Back
Top Bottom