Godfreymwasubila
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 108
- 8
serikali ya baba ako?!Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
acha kuishi kwa historia wewee..kuna mijinga kama wewe ipo UDISM na haina ajira....
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
basi inatosha jamani! muacheni!!
mpaka nimumuonea huruma