ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

private schools=private universities and community schools=community universities. HESABU HII NI KWA UBORA
 
Nilishagundua kitu kimoja aliye post lazima bado yupo chuo ndo wanaopost upuuzi kama huu ukiwepo wa kujivunia course anayosoma kumbe hawajui soko la ajira lipo je!!!!! Msimlaumu sana akikua atayaona
 
Kama msomi ana fikra hizi vp kwa mtu wa kawaida,ww umesoma wakat wa mulugo we ni 'maku' kabsa!
 
Umjinga usiyejua ujinga wako ulpokalia kaa chini ufikir kwa makin na si kubwabwaja tu ili uweze kuondokana na ujinga
 
Umjinga usiyejua ujinga wako ulpokalia kaa chini ufikir kwa makin na si kubwabwaja tu ili uweze kuondokana na ujinga
 
Huyo jamaa ni mfinyu na mvivu wa kifikra na ni adicted wa kauli za uchochoroni, km alidanganywa ajipange vizuri kuingia ktk changamoto za uraiani. Kila mtu anandoto binafsi za maisha yake bila shaka atakua ameshkishikiliwa akili, akili za watu + na yakwako = full kujiongeza, si lazma kuajiriwa ukiwa km mtaftaji lazma uwe na hope ipo siku mungu atakuskia. Usiwe na Blaablaa zisizo na mantiki ktk akili za watu.
ONGEZA UPEO FIKRA NA MTAZAMO CHANYA KIMAISHA.
 
Ajira ni mtandao bongo hii kijana. Acha kutoa povu jiajiri.
 
Hivi kuajiriwa UWT ni function ya akili?...hell NOOO!
Mleta mada ni mmoja wa wale watu brainwashed kuwa Kazi ya UwT ndiyo superior, na nahisi amekulia kwenye vijiji vya huko kwa Warangi ambako mtu akiwa UwT wanamwombea hadi dua misikitini.
 
.vipi umekunywa kilevi au?..sasa maliza hako ka-degree kako then uje usalama uone kama hutaishia mlangoni..next time fikiri zaidi kwa kutumia takwimu halisi na sio stori za kitaa..
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
serikali ya baba ako?!
 
acha kuishi kwa historia wewee..kuna mijinga kama wewe ipo UDISM na haina ajira....

kuattack. kwako UDSM kunakuweka kundi moja ma mtoa uharo hapo juu!! Kwani ambayo haijasoma UDSM ina ajira?
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

Nina mjomba wangu form one aliisikia kwenye Bomba tu, ila yupo UWT...
 
wakati mwingine jaribu kutumia ubongo wako kufikiri kabla ya kuanzisha uzi
 
Back
Top Bottom