ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
 
Unaongea kwa uzoefu au kwa mazoea kwahiyo unashauri watu waende serikalini wote?
 
Siku nyingine usiandike namna hii
maana hapa umeonyesha kiasi gani
huna ulijualo sasa ungekaa kimya

Tanzania kila mwananchi ana nafasi
ya kufanya jambo ndiyo maana Nchi
iko hapa ilipokuwepo.

Huwa hatutegemei watu toka vyuo
waajiriwe huko unakotaka wewe.
 
Kwa mujibu wa haya maelezo unamaanisha walosoma vyuo vya serikali ndio wakali na ndio wako usalama wa taifa. Kwa utendaji wa chombo hicho muhimu kwa taifa unaweza kuitetea kauli yako kwamba ina watu smart kama unavyodai?
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

wewe mzima kweli???binafsi sijasoma taasisi binafsi ila kwa huu uzi uloubandika nakupinga kabisa,yaani ww umeona kazi ni usalama wa taifa tuuuuu,hehehehe vijana wa kileo bhana,ujanja mwingi mbele giza,ila nahis wewe ni fest yia,pole sana,soma acha uzuzu
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

dah! Mkuu ninauhakika ubongo wako umeganda kama jiwe
 
Wazee wa teku,saut,tumaini,jordan ukweli unauma...

yaan huku mtaani bwana mdogo hakuna cha umesoma wapi wala wapi,huku ni pesa tu ww jidanganye huko,nipo serikalini nafanya kazi na watu wengi toka vyuo binafsi,,,,,
nyie ndo mnaokeshea GPA,wakat wenzenu wanazuga tu kama ba'mkwe na wanakua marais,
 
Watu kama nyie wenye mawazo mgando karne hii ya 21 hata elimu mliyopata haiwasaidii omba Mungu sana akusaidie uzao wako kinyume na hapo utakuja kumbuka hayo maneno yako. But all in all final huwa ni mtaani whichever university uliyosoma.
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

Bila shaka wewe ni first year. Bado unawaza kuajiriwa. Vijana wa tz bwana Yaani aibu tupu
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

acha kuishi kwa historia wewee..kuna mijinga kama wewe ipo UDISM na haina ajira....
 
Hivi usalama wa taifa ndo kaz pekee?tena wengne hata hawaitaki. Isitoshe vyuo vya private vinakuja juu sana kitaaluma kwa sababu ya ushndan,mm si muumini wa vyuo naamini ktk mafanikio yatokanayo na mtu binafsi kama kusoma sana ndo kufanikiwa basi bakhresa,mengi,dewji,nk ni maprofesa na lipumba,mukandara,kahigi,osaki, ni std seven
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

utakuwa first year,hizi ndo story zenu za kujidanganya kwenye madeka ngoja umalize chuo uje na vyeti vyako ndo utajua tanzania ya leo sio ile ya mwalimu!unamjua nani?na wewe ni nani?huonagi wezako na GPA kuuuubwa tena kutoka chuo bora cha umma wanalilia hapa wanaishia kupata msongo wa mawazo!ila wewe nawe unajiita msomi mtafuta ajira badala ya kuwa mtengeneza ajira!
 
Watoto wa siku hizi wajanja sana wameshaona wakiazisha nyuzi za vyuo wanapata comments nyingi.
 
Back
Top Bottom