ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

Mwanafunzi wa taboraboys form6 ni sawa na mwanafunzi wa BaED -SAUT
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Kwanza rekebisha kauli yako kuwa "wengi wana 3 za mwisho". Pili kweli unajua huwa Usalama wa Taifa wanapatikanaje? Usipost tu kisa umejua kutumia mitandao ya kijamii.
 
Kwani kila mtu anataka kufanya kaz usalama wa taifa?
 
Tumsamehe huyu dogo bado hajajua uhalisia wa maisha yeye anaona katika selection hizi amepata chuo sijui wapi basi anajua ndio kamaliza kazi. Hajui kwamba kupata chuo, kumaliza na kufikia ndoto ni vitu tofauti atakuja pata stress akiingia mtaani.
 
mleta mada jitahidi kutumia busara ili uwe tofauti na mjinga.
 
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu

Kweli kiwango cha elimu nchini kimeshuka. Mawazo mgando humtesa mtu. Umezungumza suala la ukilaza.Tafadhali angalia yaliyoorodheshwa hapa chini:- 1. Kwenye vyuo vya umma huwa kuna watu wengi wasiojua kuandika sentensi fasaha za lugha ya kiingereza (nilishuhudia wakati nasoma chuo cha serikali) 2.Usalama wa Taifa kila kukicha wanavujisha siri za serikali, je huo si ukilaza? 3.Wageni kutoka nchi mbalimbali wanaingia nchini bila ya hati za kusafiria na wakifika wanapewa pasipoti za Tanzania zinazoonesha wao ni raia wa Tanzania, je huo si ukilaza wa usalama wa Taifa? 4. Rushwa imetapakaa kila sehemu hapa nchini, je Taifa lipo salama?, Wananchi kutoka nchi jirani wanaingia Tanzania 'KIULAINI' na kufanya matukio ya ujambazi pamoja na kuua watu, je idara ya usalama wa Taifa unaweza kuisifia kwa hilo? Watu wanapata nyadhifa za kisiasa wakiwa wamefoji vyeti vyao huku usalama wa Taifa wanaona, je suala hilo kwako ni zuri? 5. Wafanyakazi wengi wa serikali wanaongoza kwa kufoji vyeti vya masomo, je huo si ukilaza kwa usalama wa Taifa? 6. Mitihani ya Taifa ngazi zote (kuanzia shule za msingi hadi vyuo) kila kukicha INAVUJA na bado unaendelea kusifia usalama wa Taifa (are you mentally fit?). Nina mengi ya kukueleza lakini kwa ufupi USALAMA WA TAIFA siku hizi ni majanga maana hata kuchaguliwa kuingia huko hakuangalii sifa za mtu (tabia) tokea alipokuwa anasoma shule ya msingi na kuendelea kama ilivyokuwa inafanyika zamani. Wewe uliyetoa UZI huu unaonekana HUJIAMINI, hata elimu yako (kama unayo) nina mashaka nayo. Ndio ninyi mkitangaziwa TEST chuoni 'MNATETEMEKA KWa KUSAGA MENO'. Jinsi nilivyokusoma inavyoonekana ulifaulu kutokana na KUBEBWA na walimu wasio na maadili ya kazi. Futa KIMAWAZO ya UTUMWA uliyonao. Badilika ndugu kama dunia inavyobadilika.Tanzania ya leo ni tofauti na ile ya zamani.
 
Back
Top Bottom