Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa".
Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo:
UTEUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM
...."Naamini ukweli wa suala hili hauna mjadala. Kwamba Mhe. MBOWE na wafuasi wake walighushi orodha ya majina ya viti Maalum badala ya kupeleka yaliyopendekezwa na Kamati Kuu hii siyo siri.
Naamini hata Mhe. MBOWE anakubaliana nami kuwa suala hili si moja ya siri anazodai nimevujisha! Yamesemwa mengi juu ya mtafaruku uliojitokeza kuhusu viti maalum hadi baadhi ya waasisi wa chama wakataka kujitoa na hivyo kumlazimisha Mwenyekiti Taifa ( FREEMN MBOWE) na Katibu Mkuu (DR WILBROAD SLAA) kukiomba radhi kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kwa kukiuka katiba, kanuni na maadili ya chama katika suala hili la kugushi viti maalum......"
Mbowe alishazoea hii tabia ya kuwazunguka wenzake na kughushi majina ya viti maalum. Hivyo hata akina Halima Mdee walipelekwa bungeni na ghusi za Mbowe.