Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Tundu Lissu kageuzia bunduki yake kwa Freeman Mbowe, wakati bunduki yake ikimpiga Hayati Rais Magufuli, walifurahia, wakati bunduki ya Lissu ikimpiga Paul Makonda, Mbowe alifurahia, Leo anasema eti Lissu hana fadhila kwa vidogo je itakuwa kwa vikubwa?
Eti Mbowe anashangaa na kumuuliza Kikeke,"Huyu ndiye Tundu Lissu,the boy,the guy,the friend, I knew?"..🤣
Eti Mbowe anashangaa na kumuuliza Kikeke,"Huyu ndiye Tundu Lissu,the boy,the guy,the friend, I knew?"..🤣