Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
- Thread starter
- #21
Kaka Wenje sikuwa mjinga kunyamaza kimya baada ya ubatili wote ulioufanya uchaguzi wa Victoria. Niliamua kulinda heshima yako na heshima ya chama chetu kwa gharama ya kusitiri hasira yangu kwa kuwa ulinionea.
Ninasikitika kuwa hukuelewa thamani ya ukimya wangu. Nitakujibu maana naona unataka tuyazungumze hadharani.
#John Pambalu
Ninasikitika kuwa hukuelewa thamani ya ukimya wangu. Nitakujibu maana naona unataka tuyazungumze hadharani.
#John Pambalu