Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
ameshangaa shukrani ya punda ilivyo na mateke makali dah 🐒Tundu Lissu kageuzia bunduki yake kwa Mbowe,wakati bunduki yake ikimpiga Hayati Rais Magufuli,walifurahia,wakati bunduki ya Lissu ikimpiga Paul Makonda,Mbowe alifurahia,Leo anasema eti Lissu hana fadhila kwa vidogo je itakuwa kwa vikubwa!? Eti Mbowe anashangaa na kumuuliza Kikeke,"Huyu ndiye Tundu Lissu,the boy,the guy,the friend,I knew!!?"..🤣
Walipewa majimbo 25 kwenye maridhiano.na watapata/achiwa/shindishwa kwenye majimbo kadhaa ya ubunge...!
Na yeye akina lissu, lema, heche na msigwa walikuwa wanashangaa huyu ni mbowe tunayemjua?Tundu Lissu kageuzia bunduki yake kwa Freeman Mbowe, wakati bunduki yake ikimpiga Hayati Rais Magufuli, walifurahia, wakati bunduki ya Lissu ikimpiga Paul Makonda, Mbowe alifurahia, Leo anasema eti Lissu hana fadhila kwa vidogo je itakuwa kwa vikubwa?
Eti Mbowe anashangaa na kumuuliza Kikeke,"Huyu ndiye Tundu Lissu,the boy,the guy,the friend, I knew?"..🤣
View attachment 3195335