Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu embu acha basi kukumbushia mambo ambayo watu wanayasahau kama mazombi!Mkono wa baunsa si wakumuamini
Kumbe tunaye humu@Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Ebwahahahahahahaaaa!Na kana kula kweli, kananengua kichizi kakiwa kiunoni
Ila jamaa alituona mafala eeeh.Eti mkono wa Baunsa. Huku alikuwa anasema "Thank you Baby"Ila ana mauno balaa.
Brother huyu Rashid anawaona watu mazuzuMkuu embu acha basi kukumbushia mambo ambayo watu wanayasahau kama mazombi!
Huyo alikuwa wa kupatiwa hata uongozi wa kaya kenda?
Tz ina raia a viongozi wa hovyo sana!
Mtumishi yuko fit, sema hakupata ushirikiano wa bidada alilala kama gogo, nahisi alikuwa mchaga.Ila jamaa alituona mafala eeeh.Eti mkono wa Baunsa. Huku alikuwa anasema "Thank you Baby"Ila ana mauno balaa.
Mkewe ni mzuri tu.Black beauty. Natural kabisa.
Hakika nakuambia kwenye ile video anasema "oooooohhhhh......f@ck", nikajisemea kumbe wenye ugonjwa wa kutukana na kutukania tupo wengi hakiyanani.....Mchungaji anasema f@ck, pepo shindwaa
Huu mkono utakuwa wa baunsa amini nakwambia ...[emoji125][emoji125][emoji125]Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.
Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?
Binafsi namfuatilia sana ,harakati zake za kisiasa ,kuna sehemu yuko sawa kuna sehemu hayuko sawaBrother huyu Rashid anawaona watu mazuzu