tendo la ndoa limeanza kuchezewa zamani sana, ooh mila.. ooh desturi.. wengine wanachomeka mkuki,kuingia daraja la wanaume unakabidhiwa wanawake zaidi ya watano uwashughulikie usiku mmoja,kuoa zaidi ya mke mmoja,kurithi wajaneKilichonichosha na kunishangaza zaidi ni kuwa kama binti ni bikra bwana Harusi akishaiondoa tu hatakiwi kuendelea kwa muda mrefu badala yake atamalizia kwa mpambe wa bibi Harusi Bila kujali ni mke wa mtu au la! Nilipojaribu kuhoji nikaambiwa hii ni mila ya watu hao ilikuwepo toka zamani ni siku hizi tu ndo inapuuzwa.
Si bora hiyo ya kuhamia kwa mpambe, kuna kabila dogo kati ya Sengerema na Geita, hilo, baba wa kijana lazima amlale mkwe wake kuhakikisha kuwa kijana wake kapata mwanamke wa maana. Hata hivyo kwa sasa mila hizi zinaenda zikipotea na hasa kutokana n muingiliano wa makabila na tamaduni tofauti
<font size="4">Nilikuwa mpambe wa bw. Harusi, Tulienda kijiji fulani ( ..) Baada ya kukamilika taratibu
zote ukafika muda wa unyumba ambao bwana Harusi alitakiwa kukutana na mkewe
Kwanza kikatandikwa kitambaa cheupe na mabibi pale kitandani, baada ya hapo akaitwa
mpambe wa Bi Harusi eti nae awepo wakati wa uzinduzi.
Kilichonichosha na kunishangaza zaidi ni kuwa kama binti ni bikra bwana Harusi akishaiondoa
tu hatakiwi kuendelea kwa muda mrefu badala yake atamalizia kwa mpambe wa bibi Harusi
Bila kujali ni mke wa mtu au la!
Nilipojaribu kuhoji nikaambiwa hii ni mila ya watu hao ilikuwepo toka zamani ni siku hizi tu ndo
inapuuzwa.
Umeshawahi kusikia mila kama hizi katika ndoa?
<br />Jamaa katunga hiyo ya mpambe sijawahi sikia hata siku moja ila kweli tumetoka mbali maana mila nyingi zilikuwa za kishenzi lakini hii ya huyu mkuu mmmmmh sijui bana !!!
duh,kweli kuna mambo nchi hiiUsibishe ndugu yangu, kuna mila za ajabu we acha tu.........
Hebu soma kuhusu mila hii.............. Kule wilayani Ukerewe kuna mila inajulikana kama Kusomboka ambapo mwanamke aliyefiwa na mume hutakiwa kuingiliwa kimwili na mwanaume mwingine ili kuondoa mkosi wa vifo kijijini, na pale mume anapofiwa na mke naye hutakiwa kumwingilia mwanamke ambaye hutumika kwa kazi hiyo ya kuondoa mikosi na kwa kawaida shughuli hiyo hufanywa na mwanamume au mwanamke maalum wa anayetambulika rasmi kimila kwa kufanya shughuli hiyo.
hivi kuna wanaume bado wana mzuka sana na bikira ya msichana? naomba nijibiwe
<br />hivi kuna wanaume bado wana mzuka sana na bikira ya msichana? naomba nijibiwe