Ukistaajabu ya Mussa..... Umewahi kusikia hii?

Ukistaajabu ya Mussa..... Umewahi kusikia hii?

Si bora hiyo ya kuhamia kwa mpambe, kuna kabila dogo kati ya Sengerema na Geita, hilo, baba wa kijana lazima amlale mkwe wake kuhakikisha kuwa kijana wake kapata mwanamke wa maana. Hata hivyo kwa sasa mila hizi zinaenda zikipotea na hasa kutokana n muingiliano wa makabila na tamaduni tofauti
 
Jamaa katunga hiyo ya mpambe sijawahi sikia hata siku moja ila kweli tumetoka mbali maana mila nyingi zilikuwa za kishenzi lakini hii ya huyu mkuu mmmmmh sijui bana !!!
 
Kilichonichosha na kunishangaza zaidi ni kuwa kama binti ni bikra bwana Harusi akishaiondoa tu hatakiwi kuendelea kwa muda mrefu badala yake atamalizia kwa mpambe wa bibi Harusi Bila kujali ni mke wa mtu au la! Nilipojaribu kuhoji nikaambiwa hii ni mila ya watu hao ilikuwepo toka zamani ni siku hizi tu ndo inapuuzwa.
tendo la ndoa limeanza kuchezewa zamani sana, ooh mila.. ooh desturi.. wengine wanachomeka mkuki,kuingia daraja la wanaume unakabidhiwa wanawake zaidi ya watano uwashughulikie usiku mmoja,kuoa zaidi ya mke mmoja,kurithi wajane
 
Si bora hiyo ya kuhamia kwa mpambe, kuna kabila dogo kati ya Sengerema na Geita, hilo, baba wa kijana lazima amlale mkwe wake kuhakikisha kuwa kijana wake kapata mwanamke wa maana. Hata hivyo kwa sasa mila hizi zinaenda zikipotea na hasa kutokana n muingiliano wa makabila na tamaduni tofauti

Aisee.......yaani mtu na mkwewe!! Na wakija kurudia tena inakuwaje?
 
Hamna maana ya kuoa.
Je mume akigundua kuwa mpambe wa bi. Harusi kamzidi mkewe kwa maujuzi si itakuwa balaa?
 
<font size="4">Nilikuwa mpambe wa bw. Harusi, Tulienda kijiji fulani ( ..) Baada ya kukamilika taratibu
zote ukafika muda wa unyumba ambao bwana Harusi alitakiwa kukutana na mkewe
Kwanza kikatandikwa kitambaa cheupe na mabibi pale kitandani, baada ya hapo akaitwa
mpambe wa Bi Harusi eti nae awepo wakati wa uzinduzi.
Kilichonichosha na kunishangaza zaidi ni kuwa kama binti ni bikra bwana Harusi akishaiondoa
tu hatakiwi kuendelea kwa muda mrefu badala yake atamalizia kwa mpambe wa bibi Harusi
Bila kujali ni mke wa mtu au la!
Nilipojaribu kuhoji nikaambiwa hii ni mila ya watu hao ilikuwepo toka zamani ni siku hizi tu ndo
inapuuzwa.
Umeshawahi kusikia mila kama hizi katika ndoa?

dah! Sasa mila ka hizi inakuwaje kwa wale wanawake ambao wamewahi olewa hapo awali pengine wakaachana na waume zao au labda ikatokea bahati mbaya ni wajane, inapotokea wakaolewa tena shughuli yao inakuwaje??
 
Jamaa katunga hiyo ya mpambe sijawahi sikia hata siku moja ila kweli tumetoka mbali maana mila nyingi zilikuwa za kishenzi lakini hii ya huyu mkuu mmmmmh sijui bana !!!
<br />
Mkuu nachelea kutumia neno 'mila za kishenzi' maana wazungu walipokuja Africa wakaamua tufuate ya kwao na ya kwetu yakawa ni ya 'kishenzi' ,hii iliendana na waafrika kutumbukizwa katika utumwa wa akili.Ninachofahamu kila lililotendwa na waafrika kwa jina la mila lilikuwa na maana yake,hata jina 'Lutamyo' bila shaka lina maana kubwa kwako kuliko Mark au Gabriel.
 
Nyongeza: Kama mwanamke atakuwa na bikra basi
ile shuka au kitambaa cheupe kilichotandikwa hutolewa
hadharani na kuonyeshwa lile tone la damu kwa hadhira
tendo ambalo hupokelewa kwa shangwe vigeregere na
Zawadi.
 
hivi kuna wanaume bado wana mzuka sana na bikira ya msichana? naomba nijibiwe
 
Usibishe ndugu yangu, kuna mila za ajabu we acha tu.........

Hebu soma kuhusu mila hii.............. “Kule wilayani Ukerewe kuna mila inajulikana kama ‘Kusomboka’ ambapo mwanamke aliyefiwa na mume hutakiwa kuingiliwa kimwili na mwanaume mwingine ili kuondoa mkosi wa vifo kijijini, na pale mume anapofiwa na mke naye hutakiwa kumwingilia mwanamke ambaye hutumika kwa kazi hiyo ya kuondoa mikosi na kwa kawaida shughuli hiyo hufanywa na mwanamume au mwanamke maalum wa anayetambulika rasmi kimila kwa kufanya shughuli hiyo.”
duh,kweli kuna mambo nchi hii
 
inawezekana,kwenye dunia hii kuna vitu vinafanyika ukiambiwa huwezi amini kamwe.
 
hivi kuna wanaume bado wana mzuka sana na bikira ya msichana? naomba nijibiwe

saaana, kiimani(both dini na kimila) ina mashiko sana

wasiwasi wote wa historia ya kimahusiano kwa msichana unafunikwa na bikira
 
Back
Top Bottom