Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali


Wengine taka almost zote zinaokotwa na wale mateja lakini tunamlipa Kajenjere 40,000

[emoji706]
 
Lipa Kodi kwa manufaa na maendeleo ya nchi yako, Mimi hapa Ni mtumishi Kodi yangu kwa mwezi Ni shilingi 200,000/= bado nina biashara yangu ambayo leseni nalipia sh 150,000/= wakati huo tra ninalipa 50,000/ ,yote haya Mimi Naona Ni sawa kwani tunapambania maendeleo ya nchi yetu.

Tatizo watanzania tumezoea lelemama, hata mabepari yanasema, no free lunch in capitalist system!!

Tukubali tukatae Kodi lazima ilipwe!!
 

Kuna mambo ili uyaelewe Kwa urahisi itakupasa uyapitie.

Acha kazi yako hiyo, then fanya biashara ili uwaelewe hawa wanasema kitu gani.

Ni Bora kunyamaza kuliko kuongea mambo usiyoyajua,
Usihukumu usije ukahukumiww
 
Hatukatai kulipa, lakidi hakuna weledi kwenye malipo!
Hata ng'ombe hulishwa kwanza ili apate maziwa ya kukamuliwa!

TRA wanasajili nini si ni malipo?
Sasa hayo ya manispaa bei kubwa hivyo za nini? Kwani wangeweka hata elf 10 au bure huoni wangeshawishi watu kujiajili wakakusanya kwa wingi?

Inakuwaje manispaa ulipie kila wilaya Tanzania wakati biashara ni moja na mmiliki ni yuleyule?
Kwanini mfanyabiashara alipie bango la biashara wakati kaomba leseni ili afanye biashara?

Hapo bado pesa ya usafi wa taka analipa, ulinzi analipa, Mwenge, kwenye luku anakatwa kodi ya ardhi wakati ni mpangaji n.k

HIVI HATA KAMA KWELI TUNATAKA KODI KWA STYLE HIYO KULIKUWA NA HAJA GANI KUWA NA WASOMI!
So wangesema anaemaliza la saba anatosha kuajiliwa TRA/ MANISPAA
 
 
Waache wakate ila sasa sisi wengine
Tutakuwa tunahoji miradi,huduma
Za kiserikali si watu wanakatwa kodi,tozo
Tutabanana huko huko

Ova
 
Mkuu umesahau ile Kodi nyingine inayotozwa na Manispaa mara baada ya kulipa Kodi ya Leseni inaitwa Service Levy. Ukiwauliza hiyo kodi ni ya nini wanasema ni kwa ajili ya elimu, afya na barabara. Ingawa tunatozwa tena VAT na Tozo za Benki na Simu kwa ajili ya huduma hizo hizo. Kujiajiri ni shida nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…