Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

 
Ongezeni na tozo ya
  • Pumzi
  • Kiu ya maji
  • Choo kubwa na ndogo
 
Ukiwa umeajiriwa na unafanya biashara ni ngumu sana kuona changamoto zilizoko kwenye biashara maana wewe una backup ya hiyo ajira yako, sasa acha kazi, ujiajiri, uwe na familia ya watu watano hivi wanaokutegemea ndiyo utajua anachosema mtoa mada.
 
Kwa point hizi zatosha kuwa ni Sera za chama cha siasa.

Unasuburi mini kuamzisha iwapo umeshaona suluhisho kwa kundi hili LA wafanya biashara.
 
Kwa point hizi zatosha kuwa ni Sera za chama cha siasa.

Unasuburi mini kuamzisha iwapo umeshaona suluhisho kwa kundi hili LA wafanya biashara.
Nafikilia siku nitaingia kwenye siasa naona kabisa watu hawatendewi haki
 
Soma hii ripoti kwanza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220823-170206.png
    61 KB · Views: 10
Yani hio inatakiwa ije kama kodi inayojitegemea😂
 
Hivi kila line ya simu wakiitoza 1000 kwa mwezi si itakuwa vizuri sana ili waondoe kodi sumbufu.
Line inalipiwa pia na mtoa huduma kila akisajili line kuna pesa analipa ndio maana wanazi-recycle mtu akifa..., kuongezea cost kwa wateja wao huenda ikaback-fire kwa line zinazofanya kazi kupungua kwa watu kuzitelekeza line zao, imagine mtu hajaweka vocha miezi mitano akija kuweka jero inasoma -4500/=
Zipo nchi kumiliki line sio kitu cha mchezo mchezo, wafunge macho waanzishe hili.
Hizo nchi maisha yao yapo vipi ? Kuna nchi watu wanakatakana mapanga je na sisi tuchomane visu ? By the way unajua kila ukinunua talk time kuna VAT n.k. ambayo huenda mtandao wako unai-absorb ?
Almost 40ml.ppls wanamiliki line × 1000/- 40, 000, 000,000/-p/m, gains, na waondoe kodi sumbufu za majumba ya wastaafu.
Waastafu hawalipi kodi ya majengo kama sio ya biashara au wanakaa wenyewe
 
 
Je mtoa huduma halipi Kodi nyingine as well as cost za biashara ?, Je Wakala Hakatwi kila Mwezi Kodi ya Mapato kwenye kila faida yake ?

These People are Insulting our Intelligence....
Kabisa
 
Biashara TZ ina siri zake kutegemeana na aina ya biashara. Sasa ww mtu mpya kimbilia maleseni ya taasisi zote za serikali badala ya kufanya biashara uone kama huo mtaji utabaki. Utailisha nchi ila familia yako itakufa njaa.

Tumia akili kama huna Tafuta mtu anayefanya biashara kama unayotaka kufanya umuazime akili zake za kukwepa mishale.

KUNA MSEMO"UKIONA TAASISI ZA SERIKALI ZINAKUANDAMA BASI USHAKUWA MKUBWA, KAA NAO NA UTII SHERIA BILA SHURUTI".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…