Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge shule.
Nashangaa sana, Tulichukua mkopo wa Covid tukasema zikajenge shule, Tukaweka tozo ya miamala ya simu( hizi M-Pesa, Tigo Pesa) tukasema zikajenge shule, Tumeweka tozo za miamala ya kibenki excuse ni hiyohiyo ya kujenga shule, Sasa tunaweka tozo ya kuongeza salio tunasema eti ni za kujenga shule. Nobody can buy this nonsense!
Na hoja eti zikapeleke maji vijijini, kwani hizo kodi nyingine rasmi tunazolipa kila kukicha ikiwemo income tax, PAYE, VAT, na maushuru kedekede vinafanya kazi gani?.
This is too much, naona hawa akina Muigulu wanamuingiza Samia chaka naye hajastuka. Badala ya wao kubana matumizi, badala ya kuongeza vyanzo vipya vya mapato kwa raia, wao wanaingia kuchukua kibabe katika mifuko yao kutwaa vijisenti vyao.
Msikilize huyu jamaa hapa bungeni akitangaza kuweka kodi ya kuongeza salio kwenye laini za simu.
Milioni 300 ya kupeleka maji vijijini kwa nini isipatikane kwenye lile V8 moja, badala ya kupunguza matumizi ya anasa na yasiyo na tija ya serikali mnaona option ni kuendelea kunyonya pesa kwenye mzunguko. Hawa watu wanaangamiza uchumi kwa makusudi kabisa.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge shule.
Nashangaa sana, Tulichukua mkopo wa Covid tukasema zikajenge shule, Tukaweka tozo ya miamala ya simu( hizi M-Pesa, Tigo Pesa) tukasema zikajenge shule, Tumeweka tozo za miamala ya kibenki excuse ni hiyohiyo ya kujenga shule, Sasa tunaweka tozo ya kuongeza salio tunasema eti ni za kujenga shule. Nobody can buy this nonsense!
Na hoja eti zikapeleke maji vijijini, kwani hizo kodi nyingine rasmi tunazolipa kila kukicha ikiwemo income tax, PAYE, VAT, na maushuru kedekede vinafanya kazi gani?.
This is too much, naona hawa akina Muigulu wanamuingiza Samia chaka naye hajastuka. Badala ya wao kubana matumizi, badala ya kuongeza vyanzo vipya vya mapato kwa raia, wao wanaingia kuchukua kibabe katika mifuko yao kutwaa vijisenti vyao.
Msikilize huyu jamaa hapa bungeni akitangaza kuweka kodi ya kuongeza salio kwenye laini za simu.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge shule.
Nashangaa sana, Tulichukua mkopo wa Covid tukasema zikajenge shule, Tukaweka tozo ya miamala ya simu( hizi M-Pesa, Tigo Pesa) tukasema zikajenge shule, Tumeweka tozo za miamala ya kibenki excuse ni hiyohiyo ya kujenga shule, Sasa tunaweka tozo ya kuongeza salio tunasema eti ni za kujenga shule. Nobody can buy this nonsense!
Na hoja eti zikapeleke maji vijijini, kwani hizo kodi nyingine rasmi tunazolipa kila kukicha ikiwemo income tax, PAYE, VAT, na maushuru kedekede vinafanya kazi gani?.
This is too much, naona hawa akina Muigulu wanamuingiza Samia chaka naye hajastuka. Badala ya wao kubana matumizi, badala ya kuongeza vyanzo vipya vya mapato kwa raia, wao wanaingia kuchukua kibabe katika mifuko yao kutwaa vijisenti vyao.
Msikilize huyu jamaa hapa bungeni akitangaza kuweka kodi ya kuongeza salio kwenye laini za simu.
Uliyo andika mkuu naunga mkono hoja lakini nakuja kutofautiana na Wewe sehemu moja kusema kwamba Mwigulu anamuingiza rais Samia Chaka, unataka kusema rais wetu ni myopic leader kiasi kwamba kila ushauri yeye ni ndio pasi kushilikisha reasoning yake binafsi hasa kufanya critical thinking Kama ni hivyo nachelea kusema kwamba tuna feckless government na dipshit ndo viongozi uku wise wakiwa wafuasi.

Huwa wanamlinda huyo mama yao kwasababu maalumu, wana agenda za siri, wanawatumia wengine kama ngao ya kumkinga mama yao dhaifu, sasa wanamtumia Mwigulu kuficha incompetence ya Samia.
Hawa ni wanafiki wakubwa wasiofaa kuungana nao kwenye kudai haki, kwani watakuacha peke yako siku yoyote pale wanaempenda atakapoingia ikulu.
Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika: "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya...
Huwa wanamlinda huyo mama yao kwasababu maalumu, wana agenda za siri, wanawatumia wengine kama ngao ya kumkinga mama yao dhaifu, sasa wanamtumia Mwigulu kuficha incompetence ya Samia.
Hawa ni wanafiki wakubwa wasiofaa kuungana nao kwenye kudai haki, kwani watakuacha peke yako siku yoyote pale wanaempenda atakapoingia ikulu.
Umenena vema Sana ndio maana majuzi hapa rais wa Zambia kasema hilo kwamba watu wanadai kiongozi ni mzuri lakini anazungukwa na watu wabaya mwisho akasema wanao mzunguka ndio uhalisia wake mwenyewe huyo kiongozi.