Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Inasikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kawachagua hao, umesahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa?Lawama yangu kubwa ni kwa sisi wananchi tuliowachagua hao wapiga meza. Imefikia mahali badala ya wao kuwa watetezi wa wananchi wanyonge, wao ndio wanaonyesha serikali mahali pa kukata tozo (refer zunguzubgu). Hii itoshe kutupa hasira 2025 wabunge wa namna hii wabakie nyumbani tupate wawakilishi sahihi.
Watanzania wenzangu. Kamwe hawatapunguza matumizi yao kwa sababu hawana sababu ya kufanya hivyo. Kwa nini waishi kwa shida wakati fedha za bure zipo na hakuna anayewauliza matumizi? Bila wananchi kuwa wakali na kuingia mitaani kudai haki hakuna kitachobadilika.Milioni 300 ya kupeleka maji vijijini kwa nini isipatikane kwenye lile V8 moja, badala ya kupunguza matumizi ya anasa na yasiyo na tija ya serikali mnaona option ni kuendelea kunyonya pesa kwenye mzunguko. Hawa watu wanaangamiza uchumi kwa makusudi kabisa.
Kukaa kimya nako ni kukubali. Kama hatuwataki kwa nini hatuingii mtaani?nani kawachagua hao, umesahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa?
Kwani hilo unalosema linaingozwa chaka halina ubongo?This is too much, naona hawa akina Muigulu wanamuingiza Samia chaka naye hajastuka.
Utaelewa tu!Sijaelewa
Tutawakuta wapi? Tutaendelea kuumia na kulialia na hatuna cha kuwafanya, na ndiyo maana wana uwezo wa kuanzisha walitakalo hata kama linaumiza wananchi wakijuwa wazi kuwa hakuna kipingamiziJuzi niliweka vocha ya 5000 voda,ile namaliza kuweka bahati mbaya
Mteja akaingia nikaweka simu mfukoni nikamuhudumia,sijamalizana nae vzuri
kaja mteja mwingine,kazi zikaingiliana pale ubusy ukatawala,baada ya kitu kama nusu saa
nikakumbuka nimeweka vocha ila sijajiunga,acha nijiunge nikapga menu direct kufata kifurushi changu.
nafika najiunga inakataaa naambiwa salio halitoshi,kuangalia salio nakuta kuna 4,200 nilikasirika sana ila nikapotezea nikaenda nunua vocha ya buku nikaongezea.
leo ndio nakutana na haya ya mwigulu,niki konect dot zangu napatA Majibu hawa wajinga hii system hawajaianza leo, sema sasa hv ndio wameamua kutujulisha kuwa wanatufyekaga vocha zetu.
kusingizio ni kodi kwa kujengea shule.... fresh tutakutana!
10bnUlitaka wakate sh ngapi?
Tulishasema sana tukaonekana ni wapinzani wa kila jambo.Mnafikiri nchi za wenzetu wanaondamana ni wajinga.
Wote tulioshabikia uchaguzi 2020 tuna kibarua cha kutubu kwa Mungu kwa kweli.
The dragon is unleashed and now it devour blood of our children
Uko sahiho mkuuMilioni 300 ya kupeleka maji vijijini kwa nini isipatikane kwenye lile V8 moja, badala ya kupunguza matumizi ya anasa na yasiyo na tija ya serikali mnaona option ni kuendelea kunyonya pesa kwenye mzunguko. Hawa watu wanaangamiza uchumi kwa makusudi kabisa.
Mwigulu ni Katili mno