Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

Ukweli ni kwamba Watanzania sisi ni viumbe wapumbavu kuliko maelezo, duniani hakujawahi tokea mtu mpumbavu kama mtanzania.

Hawa wameshatuona sisi ni mapimbi, kila siku nasema kadri siku niemdavyo tutegemee kuona zaidi ya jana yake

Mtoto akikushika shavu ukamchekea, akakupiga kibao ukatabasamu, atakutia kidole cha pua, ukicheka atakutia kidole cha macho, kesho na kesho kutwa atakushika kalio mbele ya umati wa watu. 😠😠😡😡
 
nani kawachagua hao, umesahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa?
 
Watanzania wenzangu. Kamwe hawatapunguza matumizi yao kwa sababu hawana sababu ya kufanya hivyo. Kwa nini waishi kwa shida wakati fedha za bure zipo na hakuna anayewauliza matumizi? Bila wananchi kuwa wakali na kuingia mitaani kudai haki hakuna kitachobadilika.
 
Tutawakuta wapi? Tutaendelea kuumia na kulialia na hatuna cha kuwafanya, na ndiyo maana wana uwezo wa kuanzisha walitakalo hata kama linaumiza wananchi wakijuwa wazi kuwa hakuna kipingamizi
 
Jamaa anatukejeli sana eti anatuonea huruma huku anatukandamiza kwa TOZO.

Amekuwa kama panya buku anangata na kupuliza.
 
Acha tupigwe Tozo mpaka za kunya mavi chooni. Tumekuwa Manyumbu tusiojielewa. Go Mwigulu go
 
Wote tulioshabikia uchaguzi 2020 tuna kibarua cha kutubu kwa Mungu kwa kweli.

The dragon is unleashed and now it devour blood of our children

1 Yohana 1:9
Tukiziungama dhambi zetu, Yeye [Mungu] ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.
 
Uko sahiho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…