hatari sana wallahi"...,wanawake huwaga wananusa harufu ya pesaUkiwa huna utaumiza kichwa kufanikiwa , ukizipata pepo mdangaji anaanza kukunyemelea , ukiingia kwenye mahusiano ndio basi sasaa.
hahaa hivyo hivyo mkuutena mwenye matako makubwa
Umesema sahihi kabisa YaaniMwanaume ukianza kufanikiwa mara paap mwanamke huyo hapo
Na hili ndio tatizo kubwa. Ndoa zilikuwa zamani sio siku hizi. Ila wao wanakomaa tu hawaujui kama zama zimebadilikaUshauri mzuri sana. Big up[emoji123]
Sema ndugu, dada, wajomba na mashangazi kila kukicha "unasubiri nini, fanya uoe"
heheh Wanakujaga tuu from nowhere, kama sisimizi anavyonusa sukari.hatari sana wallahi"...,wanawake huwaga wananusa harufu ya pesa
hahaaa yaani kama huwa wanaambizana vile".. daaahh pesa hiziheheh Wanakujaga tuu from nowhere, kama sisimizi anavyonusa sukari.
mahusiano ya namna hii huwaga hayana pressure " yanakuwaga na raha sanaNdo maana mahusiano yangu ya sasa nimeamua kuyaweka kinamna namna, kama yapo kama hayapo. Nashukuru tu na huyo niliyenaye na yeye yupoyupo tu. 'Haso' zinasonga murua kabisa😀
hahah kemea hilo pepo mkuu.umemaliza kabisa, kila nikipiga demu chini naona kabisa nakuwa milionea soon.. ghafla mwanamke mwenye matako makubwa analetwa katika maisha yangu.. Napoteana tena!
Pesa haijifichi bwana mkuu.hahaaa yaani kama huwa wanaambizana vile".. daaahh pesa hizi
naam", na ninahisi huwa wanachomwa sindano za kuzuia matamanio".... kuna ujumbe niliwahi kuuona mahali ", unasema " Luv it's fo the LoosersMajukumu ya ndoa hupunguza sana uwezo wa kufikiri hasa kwa mwanaume. Ndio maana wagunduzi wengi hawakuwa na familia
wahuni wanasema " ni pembe la ng'ombePesa haijifichi bwana mkuu.
naam unachopaswa kujishurutisha nacho ni ideas tu' ili mpunga uzidi kufuata floorNa ukiwa na hela hutumii nguvu nyingi, tutafute hela jamani.
Mathalani nikiwa busy halafu bidada analeta za kuleta huwa napoteza mwelekeo wa kitu ninachokifanya na sitoweza tena kufikiri vizuri.naam", na ninahisi huwa wanachomwa sindano za kuzuia matamanio".... kuna ujumbe niliwahi kuuona mahali ", unasema " Luv it's fo the Loosers