Ukitafakari kwa makini Utagundua Mambo ya Msingi uliyafanya Ukiwa "Single"

Ukitafakari kwa makini Utagundua Mambo ya Msingi uliyafanya Ukiwa "Single"

Ukiwa huna utaumiza kichwa kufanikiwa , ukizipata pepo mdangaji anaanza kukunyemelea , ukiingia kwenye mahusiano ndio basi sasaa.
hatari sana wallahi"...,wanawake huwaga wananusa harufu ya pesa
 
Ndo maana mahusiano yangu ya sasa nimeamua kuyaweka kinamna namna, kama yapo kama hayapo. Nashukuru tu na huyo niliyenaye na yeye yupoyupo tu. 'Haso' zinasonga murua kabisa😀
 
Majukumu ya ndoa hupunguza sana uwezo wa kufikiri hasa kwa mwanaume. Ndio maana wagunduzi wengi hawakuwa na familia
 
Ushauri mzuri sana. Big up[emoji123]

Sema ndugu, dada, wajomba na mashangazi kila kukicha "unasubiri nini, fanya uoe"
Na hili ndio tatizo kubwa. Ndoa zilikuwa zamani sio siku hizi. Ila wao wanakomaa tu hawaujui kama zama zimebadilika
 
Ndo maana mahusiano yangu ya sasa nimeamua kuyaweka kinamna namna, kama yapo kama hayapo. Nashukuru tu na huyo niliyenaye na yeye yupoyupo tu. 'Haso' zinasonga murua kabisa😀
mahusiano ya namna hii huwaga hayana pressure " yanakuwaga na raha sana
 
umemaliza kabisa, kila nikipiga demu chini naona kabisa nakuwa milionea soon.. ghafla mwanamke mwenye matako makubwa analetwa katika maisha yangu.. Napoteana tena!
hahah kemea hilo pepo mkuu.
 
Majukumu ya ndoa hupunguza sana uwezo wa kufikiri hasa kwa mwanaume. Ndio maana wagunduzi wengi hawakuwa na familia
naam", na ninahisi huwa wanachomwa sindano za kuzuia matamanio".... kuna ujumbe niliwahi kuuona mahali ", unasema " Luv it's fo the Loosers
 
Na ukiwa na hela hutumii nguvu nyingi, tutafute hela jamani.
 
naam", na ninahisi huwa wanachomwa sindano za kuzuia matamanio".... kuna ujumbe niliwahi kuuona mahali ", unasema " Luv it's fo the Loosers
Mathalani nikiwa busy halafu bidada analeta za kuleta huwa napoteza mwelekeo wa kitu ninachokifanya na sitoweza tena kufikiri vizuri.
 
Back
Top Bottom