Kipindi bado sijapevuka kiakili nilikuwa naona wale madem wanaopendeza wanaojua kuvaa ndio wazuri wajanja mana wapo updated na hawa wanaouza michicha wapika majungu magengeni ni washamba kumbe bora hawa wauza magenge na wanaopika mamantilie wanaakili ya kujishughulisha kwa shughuli ndogondogo so ukimpata na kumuwekea mazingira mazuri ya kazi maisha yanakuwa mazuri kwako na kwakeFanya hivyo tafuta mke mwenye akili awe amesoma au hajasoma sana......kikubwa awe na akili yenye utambuzi,kujiongeza na common sense utafurahia maisha
Yeah,ogopa sana mwanamke anayependa kujipamba tu na kustarehe......huyo anayejishughulisha yuko poa sanaKipindi bado sijapevuka kiakili nilikuwa naona wale madem wanaopendeza wanaojua kuvaa ndio wazuri wajanja mana wapo updated na hawa wanaouza michicha wapika majungu magengeni ni washamba kumbe bora hawa wauza magenge na wanaopika mamantilie wanaakili ya kujishughulisha kwa shughuli ndogondogo so ukimpata na kumuwekea mazingira mazuri ya kazi maisha yanakuwa mazuri kwako na kwake
pole sanaTafiti yako sijaielewa,mimi kwangu maendeleo ni pamoja na kuwa na uwezo wa kummiliki huyo mwanamke,ukitaka kuyapima maendeleo yako kwa kigezo hicho,fanya ukate dushe ili uwe busy na maendeleo hayo uyatakayo,naamini hicho ni kipimo tosha na cha uhakika kwetu kuwa unataka maendeleo,otherwise you are wrong totally wrong bro!
Mkuu siyo kwamba wanakubali bila sababu hapana , mwanaume anajiamini zaidi anapokuwa na pesa na kiwango chako cha kujiamini kinaongezeka kadiri unavyokuwa na hela hili lipo wazi kabisaNilishashindwa kujua haka ka correlation kabisa. Au unakuta ukianza kupata pata vihela, basi kila unaemtongoza anakubali. Au wananusa