Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Kipindi bado sijapevuka kiakili nilikuwa naona wale madem wanaopendeza wanaojua kuvaa ndio wazuri wajanja mana wapo updated na hawa wanaouza michicha wapika majungu magengeni ni washamba kumbe bora hawa wauza magenge na wanaopika mamantilie wanaakili ya kujishughulisha kwa shughuli ndogondogo so ukimpata na kumuwekea mazingira mazuri ya kazi maisha yanakuwa mazuri kwako na kwakeFanya hivyo tafuta mke mwenye akili awe amesoma au hajasoma sana......kikubwa awe na akili yenye utambuzi,kujiongeza na common sense utafurahia maisha