Bismarck 1984
New Member
- Dec 22, 2020
- 4
- 9
" Jana Niliona toleo lilotamalaki sana kwenye Vyombo vya habari kuwa Wazazi wasiwapeleke Watoto wao Kusomea Ualimu kutokana na Maslahi Kiduchu amabyo mwalimu Anapata au Analipwa.
Nikaenda mbali sana kwa kuwaza na kuwazua Nikaona nianze Kufanya Uchunguzi wangu wa ndani kabisa.
Sasa kabla sijaleta Uchunguzi Wangu Utakaosheheni Maelezo ya kina kuhusu mazingira ya Waalimu na Mazingira yao kazini, bado dhamira inaniambia Kuwa Pamoja na malipo kiduchu anayolipwa mwalimu na Serikali bado Serikali inaheshimu Waalimu Ikilinganishwa na baadhi ya Taasisi binafsi si zote.
Wewe Kama Mdau wa Elimu Una Maoni gani kabla sijaleta Uzi maalumu wa hii taarifa? Mimi Naona Serikali Ukiachilia Mshahara kidogo Anaolipwa Mwalimu ambacho ni kilio cha Wafanyakazi Wengi, naona serikali bado inamjali Mwalimu Ukilinganisha na Baadhi ya Shule za Binafsi ambako Mwalimu Anaendeshwa navkufanyishwa kazi zisizohusiana na kabisa na Ualimu.
Mdau toa maoni yako bila hisia ukisubiri uchunguzi wa kina.