Bismarck 1984
New Member
- Dec 22, 2020
- 4
- 9
- Thread starter
- #41
Sasa Ndugu Yangu, Na Wewe nakujua ni mtu Mzoefu unasema Waalimu Waache kufundisha Unataka watoto wako Wafunsishwe na nani? Tukikaa kimiya Huoni kwamba tunaangamiza taifa. Sisi ni wadau Wa Elimu lazima tuongee hata kama kuna watu kama wew Wanaopenda mwalimu anyanyasike, sisi tutaleta maovu yo hapa kwa Majina bila kusita, na wanafanya Vizuri tutawasifia.Si muachane na huo ualimu