Sasa Ndugu Yangu, Na Wewe nakujua ni mtu Mzoefu unasema Waalimu Waache kufundisha Unataka watoto wako Wafunsishwe na nani? Tukikaa kimiya Huoni kwamba tunaangamiza taifa. Sisi ni wadau Wa Elimu lazima tuongee hata kama kuna watu kama wew Wanaopenda mwalimu anyanyasike, sisi tutaleta maovu yo hapa kwa Majina bila kusita, na wanafanya Vizuri tutawasifia.
Maisha ni wewe na wewe ndie unaamua uishi utakavyo uwe masikini au tajiri Mungu amewapa watu wote equal chance Mungu si dikteta thus amekupa freewill umiliki na utawale maisha yako akili yako