Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Yapo madhara makubwa sana ya tamaa ya mali na pesa nyingi ambayo watu wengi hawakumbuki mara nyingi wanajisahau sana.
Madhara ya kumiliki pesa na mali nyingi sana kwanza kabisa lazima utambue kuwa unakesha usiku na mchana kutafuta pesa na mali nyingi hata wakati mwingine unaogopa kula na kustarehe ukidhani kwamba una jifilisi tambua kuwa utakapokufa watakaozifaidi na kuzitafuna kisawasawa watakuwa watu wengine ambao wakati wewe ukihangaika wao walikuwa wamelala.
Maandiko ya vitabu vya dini vinapohasa watu kuacha tamaa ya mali nyingi na pesa nyingi vinamaanisha ni sawa na kupoteza muda kwasababu mwili hautaishi muda mrefu kwahiyo unapokuwa na tamaa ya mali na pesa nyingi jua unatafutia watu wengine, watakaofaidi ni wao na sio wewe kwasababu hutaishi sana.
Tafuta mali huku ukizitumia pia sio kujinyima ukidhani utafilisika