Ukitafuta mali usijinyime kuzitumia, ukifa utaziacha watatumia wengine

🤣Ad hominem attack...unaniattack Mimi badala ya hoja...just don't tell ppo hela hazina maana wakati huna...
 
Mtoa post ana kitu cha msingi naomba asipuuzwe,

Umeongea vyema mkuu.
 
Sasa usiseme kwamba hela haina maana afu huna...it's lyk saying chips mbaya halafu hujawahi kula. Acha wivu wa maendeleo na uvivu wa kifikra
 
Unaweza ukatafuna mali na usife ila mali zikafa.....hapa ndio utajua kwanini difenda la polisi huwa halijai
 
Don’t get so busy making a living that you forget to make a life. – Dolly Parton
 
Sasa hapo siyo zile talanta tano maana talanta ni vipaji inaweza kuwa uimbaji au talanta nyingine, huyo unayesema kila analofanya anabarikiwa basi Kuna nguvu kubwa nyuma yake inamsaidia yawezekana wazazi wake walimuweka wa kifu kwa Mungu na wao waliwekeza kwa Mungu pia, na kuwekeza kwa Mungu ni kutenda haki ndo akiba iliyo kuu, hata uwe mcha Mungu kiasi gani kama hutendi haki au jambo usilopenda kufaniwa usiwafanyie wengine hapo hazina yako inakuwa mbinguni na kamwe Mungu hamuachi mtu anayependa kufanya haki hata watoto wake watabarikiwa kwa kupitia wazazi hivyo ukifatilia huyo mtu Kuna kitu utakiona kwake.
 
Usijinyime sawa ila hiyo roho yakwamba ukifa utawaachia wengine ni ubinafsi, unatakiwa kutafuta mali siyo kwaajili yako pekee ila mpaka wajukuu wako ni sehemu ya urithi wako Sasa kama mali zinazidi basi gawa kwa wanao na wajukuu na zingine gawa katika misingi ya Mungu yaani sadaka kwa yatima na wajane ila hapo hapo ukijiwekea hazina mbinguni ya kutenda haki nadhani ukitendea hata mwili wako haki huwezi kuufanyisha starehe za kijingajinga mwisho utaudhuru.
 
Sasa utafutie wajukuu na wao wakija watatafuta nini, ndo mana familia ambazo watoto na wajukuu walitafutiwa na mababu zo wanakuwa mazombi, nenda familia za wale mamangi wa zamani akina Mariale na Mkwawa uoe kizazi kile kilivyobweteka mali zimepotea zote
 
Hao ambao wankula bia kila siku na kazi zao hazijulikani ndo wanashangaza sasa, maisha ni fumbo
Maisha ni fumbo kweli , principle nzuri ni kutafuta kadiri unavyoweza lakini tumia vile vile .,zinazobaki weka akiba ,
Ukiwa mtu wa kujibana utajufa pesa ulizojibana watakula wengine
 
Mleta Mada hakumanisha hivyo, amesema tamaa ya Mali nyingi bila kuzitumia, hakumanisha usiweke hakiba, wala kuwekeza.

Hayupo mbali na ukwel ndugu yetu anamaanisha, tutafute pesa tutafute Mali Lakin pia tutumie na sisi, na pia tusijichoshe kutafuta mafanikioakubwa Sana bila ya tahadhari, mfano wew una pesa za kumiliki majumba magari nk Lakin unaendesha baiskeli kwasababu huna ogopa kuchezea pesa ni mfano
 
Well 🙏🏿
 
Sasa hao watoto waliobweteka ni wao na watajibeba wenyewe ila wewe kama wewe unafanya kwa kutimiza agano lako na Mungu na ili mali zifurike kwenye mkondo wako Sasa ukizifuja au kutapanya hovyo hovyo utaweza kuumia hata wewe, na kingine ili akiba yako ilindwe na Mungu inatakiwa ujitahidi kutenda haki Sasa kama unatafuta mali bila kutendea wengine haki ndo hivyo na watoto wako hawataitwa wabarikiwa na mfano ndo huo kutapanya mali ukifatilia utaona background Yao, utaona hata matajiri wanajitahidi kuhudumia vilema na yatima ili kuomba Toba kwaajili ya hazina zao.
 
Wazee wa tafuta kama unaishi milele na tumia kama unakufa kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…