Ukitahiriwa umri wa miaka 18, inachukua muda gani kupona?

Two weeks, kama utaweza kukaa muda wote bila kusimamisha kiba chako
 
Nenda fasta kalitoe. Mi nililitoa nikiwa nakaribia 29, na nikafanya mapenzi siku ya 13 baadae. Isikutishe lakini jiandae kisaikolojia, zile siku tatu za mwanzo utaskilizia. Usiku lazima udindishe, na hapo nyuzi zinajikaza sawasawa. Ila ukiamka ukapigwa upepo basi linalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa mkuu kwanini ulitahiri
 
Usihofu Mimi militia na miaka 15, hapo huwezi kuwa na kibamia, wanaotoa wakiwa wadogo wengi wao wanakuwa na kibamia kwani ukiwa Mdogo mishipa inakomaa angalia hats Wamasai wanatoa wakiwa wakubwa wana mpini wa uhakika. Kwa huu umri siku 4 za mwanzo itadinda sana nyuzi zinapobana uwe unatumia barafu kupooza, na kwa umri huu unapotoa unakufanya uwe mwanamume Imara kwani unavumilia uhalisia..Kesho nenda ukatoe.
 
Hahahaa Poaa mkuu kwa somo zurii
 
Ukitahiriwa ukubwani inachukuwa siku 14 kupona kabisa mimi kuna vijana huku mtu na baba yake niliwapeleka Hospitali kukata Govi wamekaa kwa siku 14 kupona kabisa. Ondosha woga nend akalitoe hilo Govinda utapona haraka.
 
Ukitahiriwa ukubwani inachukuwa siku 14 kupona kabisa mimi kuna vijana huku mtu na baba yake niliwapeleka Hospitali kukata Govi wamekaa kwa siku 14 kupona kabisa. Ondosha woga nend akalitoe hilo Govinda utapona haraka.
Hahahahaa Ahsante Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…