Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetahiriwa ukubwani au ww ni Doctor?Two weeks, kama utaweza kukaa muda wote bila kusimamisha kiba chako
Aisee uamuzi wako ni wa busara sanatoaa mawazo mkuu kutahiriwa ni kutahiriwa tu haijalishi umri gani
Duh![emoji15]week mbili .bro wangu alitahiriwa baada ya kumaliza form six
Unashanga mkuu ndo ukweli wenyeweDuuu
Hahahaaa watu kwa maneno asee daahUkitahiri kumbuka kuacha kingonzi kama cha mmasai kinasugua balaa naskia,kilala kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa mkuu kwanini ulitahiriNenda fasta kalitoe. Mi nililitoa nikiwa nakaribia 29, na nikafanya mapenzi siku ya 13 baadae. Isikutishe lakini jiandae kisaikolojia, zile siku tatu za mwanzo utaskilizia. Usiku lazima udindishe, na hapo nyuzi zinajikaza sawasawa. Ila ukiamka ukapigwa upepo basi linalala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa Poaa mkuu kwa somo zuriiUsihofu Mimi militia na miaka 15, hapo huwezi kuwa na kibamia, wanaotoa wakiwa wadogo wengi wao wanakuwa na kibamia kwani ukiwa Mdogo mishipa inakomaa angalia hats Wamasai wanatoa wakiwa wakubwa wana mpini wa uhakika. Kwa huu umri siku 4 za mwanzo itadinda sana nyuzi zinapobana uwe unatumia barafu kupooza, na kwa umri huu unapotoa unakufanya uwe mwanamume Imara kwani unavumilia uhalisia..Kesho nenda ukatoe.
Kwaiyo mmeo au mpenzi wako hajakatwema sio?Unashanga mkuu ndo ukweli wenyewe
Ukitahiriwa ukubwani inachukuwa siku 14 kupona kabisa mimi kuna vijana huku mtu na baba yake niliwapeleka Hospitali kukata Govi wamekaa kwa siku 14 kupona kabisa. Ondosha woga nend akalitoe hilo Govinda utapona haraka.Wadau habari za asubuhi,
Natumai mu wazima wa afya tele kabisa,
Swali langu ni kwamba kwa mfano mwanaume akitahiriwa wa umri wa miaka 18 je inachukua muda gani kupona kabisa?
Na ustaarabu gani wa kufuata kipindi akishatahiriwa? Yaani kuhusu msosi na malazi pia!
Karibuni tuelimishane!
Ahsanteni na Mungu awabariki!
Koh koh koh ptuuuuu sjawai na sitowai aiseeeHahahahaha
Ww lazima una experience na mikono ya sweta
Hahahahaa Ahsante MkuuUkitahiriwa ukubwani inachukuwa siku 14 kupona kabisa mimi kuna vijana huku mtu na baba yake niliwapeleka Hospitali kukata Govi wamekaa kwa siku 14 kupona kabisa. Ondosha woga nend akalitoe hilo Govinda utapona haraka.