Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Koh koh koh ptuuuuu sjawai na sitowai aiseee
Unakaguaje km mtu hana sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koh koh koh ptuuuuu sjawai na sitowai aiseee
Hahahaha!!! Umchukue ss coz hamna dem atamkubaliUsitolewe bana mwanaume mwenye govi ni mtamu balaa
Sasa imagine upo geto,ndo jamaa ana govi utamwambiaje aelew kukuacha ?Koh koh koh ptuuuuu sjawai na sitowai aiseee
Usitolewe bana mwanaume mwenye govi ni mtamu balaa
Eti govinda nimecheka sana..kuna movie ilikuwa na starring anaitwa Govinda...Ukitahiriwa katika umri huo jiepushe na vitu vitakavyo kufanya udinde ndani ya mwezi utapona.lakini ukiwa macho juu juu huponi .......
Haya wahi kaondoe hilo govinda
Unataka nikutahiri?Umetahiriwa ukubwani au ww ni Doctor?
Miaka 18 ijayo ndo utakuwa umeponaWadau habari za asubuhi,
Natumai mu wazima wa afya tele kabisa,
Swali langu ni kwamba kwa mfano mwanaume akitahiriwa wa umri wa miaka 18 je inachukua muda gani kupona kabisa?
Na ustaarabu gani wa kufuata kipindi akishatahiriwa? Yaani kuhusu msosi na malazi pia!
Karibuni tuelimishane!
Ahsanteni na Mungu awabariki!
Ndio ..kijana akakate huo mkono wa swetaMtalaam
Ndio hivyo akatoe tuEti govinda nimecheka sana..kuna movie ilikuwa na starring anaitwa Govinda...
Kwani anatembea dudu ikiwa nje?Mtaani atatengwa na wanaume.
Nadhan hizi ni fikra dhana tu...sitetei kutokatwa ila jambo lenyewe liko kiafya zaidi , ila kwa wengi limekaa kisaikolojia....ndo maana we kama ni mchafu usivae shati mikono mirefu utalichafua na utakuwa mchafu, ila kama msafi hakuna neno...ukishindwa vema kuvaa shati mikono mifupi....ova!!
MUONE DOCTOR ,MWELEZE ATAKUAMBIA BEI NADHAN SI CHINI YA 40+(KWA PRIVATE HOSPTALS DASLAM)...ATAKUPANGIA UENDE MDA GANI.Anhaa poaa mkuu si haina complication sio
Kwani anatembea dudu ikiwa nje?