Ukitahiriwa umri wa miaka 18, inachukua muda gani kupona?

Ukitahiriwa umri wa miaka 18, inachukua muda gani kupona?

Ukitahiriwa katika umri huo jiepushe na vitu vitakavyo kufanya udinde ndani ya mwezi utapona.lakini ukiwa macho juu juu huponi .......


Haya wahi kaondoe hilo govinda
Eti govinda nimecheka sana..kuna movie ilikuwa na starring anaitwa Govinda...
 
Wadau habari za asubuhi,

Natumai mu wazima wa afya tele kabisa,

Swali langu ni kwamba kwa mfano mwanaume akitahiriwa wa umri wa miaka 18 je inachukua muda gani kupona kabisa?

Na ustaarabu gani wa kufuata kipindi akishatahiriwa? Yaani kuhusu msosi na malazi pia!

Karibuni tuelimishane!

Ahsanteni na Mungu awabariki!
Miaka 18 ijayo ndo utakuwa umepona
 
Hahahaha!!! Umchukue ss coz hamna dem atamkubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan hizi ni fikra dhana tu...sitetei kutokatwa ila jambo lenyewe liko kiafya zaidi , ila kwa wengi limekaa kisaikolojia....ndo maana we kama ni mchafu usivae shati mikono mirefu utalichafua na utakuwa mchafu, ila kama msafi hakuna neno...ukishindwa vema kuvaa shati mikono mifupi....ova!!
 
Mkuu ndo unaenda kutahiriwa ??
 
Anhaa poaa mkuu si haina complication sio
MUONE DOCTOR ,MWELEZE ATAKUAMBIA BEI NADHAN SI CHINI YA 40+(KWA PRIVATE HOSPTALS DASLAM)...ATAKUPANGIA UENDE MDA GANI.

ZINGATIA
1.OGA UWE MSAFI
2.ZINGATIA MASHARTI YA DOCTOR
3.INACHUKUA KAMA 25MINUTES.....(SIKU IZI WANAEKA GANZI)-HAMNA MAUMIVU
4.UKSHATAHIRIWA KAA MBALI N.A. MAZINGIRA YA KUSIMAMISHA(LA sivyo maji utaita mma[emoji1] [emoji23] )
5.Muulize doctor ufanyeje isidinde(cramp scrotum/use drugs)

karibu_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom