Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,294
ushauri mzuri sana huuu nimechelewaje kuuona hayo majani mrehani yanapatikana wapi
vyote naweza kufanya lakini kinywa juisi ya limao mhhhhhhhh si ndo ntazidi kuwa kimbaumbau
mimi natamani kukunenepa kidogo nishaurini nifanyeje angalau niwe mnene nauchukia mwili wangu wa kimisi huu najitahidi kufakaamia lakini wapiiiiiiiii
Darling it's simple just start feeding yourself with junkies. ..burgers, sandwiches, lot's of soda simply sugar and all that unhealthy shit. .ndani ya dakika. Plus bia za bure na nyamamachoma wamjini wanasema hutojuta..Goodluck