ushauri mzuri sana huuu nimechelewaje kuuona hayo majani mrehani yanapatikana wapi
vyote naweza kufanya lakini kinywa juisi ya limao mhhhhhhhh si ndo ntazidi kuwa kimbaumbau
mimi natamani kukunenepa kidogo nishaurini nifanyeje angalau niwe mnene nauchukia mwili wangu wa kimisi huu najitahidi kufakaamia lakini wapiiiiiiiii