Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Habari JF,
Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi.
Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha)
Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati.
iko hivi, boda boda are less supervised, hawahitaji uangalizi ama ufuatiliaji mkubwa sana katika marejesho ya kila siku.
KITU CHA KUFANYA
Hakikisha katika kila kijiwe unachotembelea, wawe na uongozi kuanzia mwenyekiti, katibu na mtunza Hazina wao.